Uncategorized

KWASI ANUKIA TIMU NYINGINE LIGI KUU

admin July 11, 2019 8:13 am


Kama mlidhani Asante Kwasi amechuja, ngoja ishu yake na Biashara itiki asaini mkataba wa Kocha Amri Said.

Kwasi ni kati ya wachezaji ambao mikataba yao ilimalizika ya kuichezea Simba.

Kwa mujibu wa taarifa ambazo limezipata gazeti la Spoti Xtra kutoka Global Publishers, Kwasi yuko kwenye hatua nzuri na Biashara United.

“Uongozi umepania kukifanyia marekebisho kikosi chake na katika hilo umepanga kuwasajili wachezaji wenye uzoefu wa kucheza mechi za ligi na kati ya wachezaji hao yupo Kwasi,” alisema mtoa taarifa ndani ya uongozi wa Biashara.

KAGERE, MSUDAN NDANI YA NYUMBA SIMBA MSUVA AMFUATA SAMATTA ULAYA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply