IMEVUJA!! KABWILI ALISHAPATA OFA MACEDONIA AKILIPIWA KILA KITU, MPAKA SASA YUPO MORO
Imeripotiwa kuwa hivi karibuni ilisema kuwa klabu ya FK Renova ya Macedonia barani ulaya ilimpa ofa golikipa wa klabu ya Yanga, Ramadhani Kabwili ya kwenda…
Imeripotiwa kuwa hivi karibuni ilisema kuwa klabu ya FK Renova ya Macedonia barani ulaya ilimpa ofa golikipa wa klabu ya Yanga, Ramadhani Kabwili ya kwenda…
Aliyekuwa kipa namba mbili wa kikosi cha Simba, Deogratius Munishi ;DIDA’, amefunguka kutokuwepo katika kikosi cha Simba huku Kocha Patrick Aussems akiwa bado anamuhitaji katika…
Taarifa ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) juu ya Kocha Joseph Omog kuifundisha Taifa Stars.
Wakati kikosi cha Yanga kikiwa kimeingia kambi rasmi juzi Jumatatu, nyota wa kigeni wa klabu hiyo, raia wa Namibia, Sadney Khoetage Urikhob ameshindwa kuripoti kwa…
HARUNA Niyonzima kiungo mwenye uwezo wa kuchezea mpira uwanjani namna anavyotaka inaelezwa kuwa amejiunga na klabu ya AS Kigali ya Rwanda.Niyonzima amejiunga na AS Kigali…
KWA masikitiko makubwa, uongozi wa Global Publishers, unatangaza kifo cha mwandishi wake aliyekuwa akiandikia Magazeti ya Michezo ya Championi na Spoti Xtra, Ibrahim Mressy kilichotokea…
JOSEPH Omog, anatajwa kuwa Kocha Mkuu wa muda wa timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ inayotarajiwa kushiriki michuano ya CHAN.Omog ambaye aliwahi kuvinoa vikosi…
TIMU ya Taifa ya Wanawake Tanzania ‘Tanzanite’ chini ya umri wa miaka 20 imepata mwaliko wa kushiriki michuano ya COSAFA ambayo inazishusisha timu za jumuia…
GADIEL Michael, bieki mpya wa Simba ambaye amesaini kandarasi ya miaka miwili akitokea Yanga amewaomba radhi viongozi wa Yanga na mashabiki wake.Kupitia ukurasa wa Instagram,…
‘Hata kagere na kina Okwi wajuzi waliyasema haya haya ‘ Na Haji Manara Siku hizi sijishughulishi tena na kujibu jibu makala zenye lengo la kuichafua…