AZAM FC WAANZA KWA USHINDI KAGAME
MABINGWA watetezi wa kombe la Kagame leo wameanza vema kwa ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Mukura FC.Bao pekee la ushindi lilifungwa na mshambuliaji Iddy…
MABINGWA watetezi wa kombe la Kagame leo wameanza vema kwa ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Mukura FC.Bao pekee la ushindi lilifungwa na mshambuliaji Iddy…
SALIM Aiyee mshambuliaji mpya wa kikosi cha KMC ameanza kwa kucheka na nyavu baada ya kufunga bao kwenye mchezo wake wa kwanza wa michuano ya…
UONGOZI wa Simba umesema kuwa umempa kazi maalumu Ofisa Habari wa kikosi hicho kabla ya siku ya Simba day ambayo ni maalumu kwa ajili ya…
LIONEL Messi mshambuliaji wa timu ya Taifa ya Argentina amesema kuwa hana imani na waandaaji wa michuano ya Copa America kwani wanawapendelea waandaaji ambao ni…
BAADA ya timu ya Taifa ya Misri kutolewa hatua ya 16 bora na timu ya Afrika Kusini kwa kufungwa bao 1-0 jana uwanja wa Taifa…
Inaelezwa kuwa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limefikia makubaliano ya kuacha na Kocha Emmanuel Amunike aliyekuwa anainoa Taifa Stars.Hatua hiyo imekuja kufuatia kuboronga mechi za…
MOHAMED Salah mshambuliaji wa timu ya Taifa ya Misri anayekipiga timu ya Liverpool kwa sasa naye atakuwa ni mtazamaji wa michuano ya Afcon ambayo inaendelea…
Imeeleza kuwa Klabu ya aS Vita ya Dr Congo imekomaa na mpango wake wa kutaka kumsajili mshambuliaji wa JS Saoura ya algeria, Thomas Ulimwengu kwa…
RAIS wa TP Mazembe, Moise Katumbi ameruka tuhuma za gazeti moja la Madagascar kwamba alimhonga kipa wa Zimbabwe kwenye mechi ya Afcon kuwania kufuzu 16…