NINJA ALIPWA MSHAHARA WA BILIONI 2 MAREKANI, ATACHEZA NA ZLATAN LA GALAXY
IMEFAHAMIKA kuwa beki wa zamani wa Yanga, Abdallah Shaibu ‘Ninja’ ambaye kwa sasa anakwenda LA Galaxy ya Marekani kwa mkopo, atakuwa akilipwa mshahara wa euro…
IMEFAHAMIKA kuwa beki wa zamani wa Yanga, Abdallah Shaibu ‘Ninja’ ambaye kwa sasa anakwenda LA Galaxy ya Marekani kwa mkopo, atakuwa akilipwa mshahara wa euro…
MITANDAO maarufu duniani ya Instagram na Facebook na WhatsApp imekumbwa na tatizo la kuwa chini dunia nzima ambapo baadhi ya watumiaji wameeleza kushindwa kupakia picha,…
WALTER Bwalya mshambuliaji wa Nkana FC ya Zambia amesema kuwa yupo tayari kusaini Simba iwapo watamhtaji.Bwalya amekuwa akihusishwa kujiunga na Simba na kuna taarifa kwamba…
MAALIM Busungu mshambuliaji wa zamani wa timu ya Lipuli amesema kuwa kwa sasa yupo tayari kurejea kucheza mpira iwapo timu itatokea timu itakayompa dau la…
UONGOZI wa Ruvu Shooting umesema kuwa kwa sasa hauna mpango wa kusajili wachezaji kutoka nje ya nchi kutokana na kuamini uwezo wa wachezaji wa ndani.Akizungumza…
EVARIGITIUS Mujahukwi aliyekuwa mshambuliaji wa Mbao FC yenye maskani yake Mwanza amejiunga na klabu ya Kagera Sugar. Kagera Sugar imenusurika kushuka Daraja msimu wa mwaka…
KAMA kweli atakamilisha usajili wake wa kujiunga na Yanga SC akitokea Mbao FC, golikipa, Metacha Mnacha atakuwa bora Zaidi ya Aishi Manula na atashikilia…
IBRAHIM Ajibu amesaini kandarasi ya miaka miwili kuitumikia timu ya Simba akitokea Yanga.Ajibu msimu wa 2018-19 alikuwa kwenye ubora wake baada ya kutoa jumla ya…