Latest Posts
YANGA YATOA TAMKO JUU YA MBRAZIL WA SIMBA
UONGOZI wa Klabu ya Yanga umesema kuwa auhofii usajili unaoendelea kufanywa na watani wao wa jadi, Simba ukiwemo wa straika Mbrazili, Wilker Henrique da Silva.Wiki…
JPM: MAKONDA UMESEMA UKIENDA MISRI TUTASHINDA? HAYA NENDA – VIDEO
RAIS John Magufuli amemruhusu Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, kwenda nchini Misri kwa ajili ya kuipa hamasa timu ya taifa Tanzania…
AZAM YAIFANYIA UMAFIA WA AINA YAKE YANGA KWA METACHA
Azam FC imesisitiza kwamba, kipa anayetajwa kumalizana na Yanga, Metacha Mnata, ataitumikia Azam FC msimu ujao na wala haendi sehemu nyingine.Kauli ya Azam FC imekuja…
ZAHERA ABADILI GIA YA USAJILI YANGA AKIWA MISRI
VIONGOZI wa Klabu ya Yanga chini ya mwenyekiti wake, Dk Mshindo Msolla, wikiendi hii waliitumia kwa ajili ya kuzungumza na wachezaji waliopo ndani ya kikosi…
RASMI JINA LA KOTEI LATUA YANGA
SIMBA na Yanga zote zipo kwenye mikakati mipya ya kujiweka sawa kwa ajili ya msimu ujao, kila upande unaonekana kuwa na maandalizi makubwa kwa kuwa…
SIMBA YAINGIA MKATABA WA MIAKA MIWILI NA KIFAA KINGINE KIPYA KUTOKA BRAZIL, KIMECHEZA NA NEYMAR
Mchezaji mwingine kutoka Brazil mwenye uwezo mkubwa wa kucheza nafasi ya beki wa kati na kiungo mkabaji, Gerson Fraga Vieira (26) amesaini mkataba wa miaka…
Juuko siyo aina ya mchezaji wa Simba!
Kuna mengi yanazungumziwa sana kwa sasa baada ya michuano ya Afcon kuanza. Tanzania tunalalamika, Kenya walalamika lakini Uganda wanafurahia. Wako katika mazingira mazuri kwenye michuano…
HILI SASA NI BALAA, MAMA TANASHA AZUIA NDOA YA MONDI NA MWANAYE
Achana na sababu alizowahi kuzitoa mwanamuziki Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ juu ya kuahirisha ndoa yake na Tanasha Donna Oketch, lakini kumbe nyuma ya pazia, mama…
YANGA YAONYESHA JEURI YA FEDHA, USAJILI WAKE KUFURU
YANGA wametumia zaidi ya Sh900mil mpaka lengo likiwa ni moja tu kusuka kikosi chenye muonekano mpya na hadhi ya klabu hiyo. Fungu hilo ambalo limetokana…