BAADA YA KUUONA MZIKI WA MOROCCO ULIVYO….FEI TOTO KAGUNA WEEH..KISHA AKASEMA HAYA…
KIUNGO wa timu ya taifa, Taifa Stars, Feisal Salum ‘Fei Toto’ ameweka wazi kuwa wanaendelea na maandalizi kwa ajili ya kuhakikisha wanafanya vizuri katika michuano…
KIUNGO wa timu ya taifa, Taifa Stars, Feisal Salum ‘Fei Toto’ ameweka wazi kuwa wanaendelea na maandalizi kwa ajili ya kuhakikisha wanafanya vizuri katika michuano…
USAJILI uliofanywa na Simba katika dirisha dogo la usajili pamoja na mashindano ya Kombe la Mapinduzi unaweza kubadili hali ya mambo katika kikosi hicho wakati…
MWAKA 2019 Tanzania ilifuzu fainali za Mataifa ya Afrika (AFCON), ikiwa ni mara ya kwanza baada ya takribani miaka 39 na mara ya pili katika…
Straika Hafiz Konkoni amekiri kufikia makubaliano na Yanga kutolewa kwa mkopo, ambapo kwa sasa amesisitiza anahitaji kwenda nyumbani kwao Ghana, akapumzishe akili yake kidogo. Amesema…
Pitia ukurasa wa mbele wa gazeti la Mwanaspoti la leo tarehe 17/1/2023 kama lilivyochapishwa na MCL na kusambazwa mitaani.
Saa chache baada ya Yanga kutangaza kumtema winga Jesus Moloko Geita Gold iko naye mezani kwa mazungumzo ya kumsajili kwa mwaka mmoja. Geita inamtaka Moloko…
KIUNGO mshambuliaji wa Yanga, Stephane Aziz KI, amecheza kwa dakika 87 kwenye kikosi chake cha Burkina Faso wakati kikiichapa Mauritania bao 1-0 katika mchezo wao…
WAPO ambao wanamwita Jadon Sancho wa Kizimkazi kwa Mama. Huyo ni winga wa boli, Tarryn Allarakhia ambaye amekuwa gumzo nchini kufuatia kiwango kizuri alichokionyesha katika…
Simba wakati wowote itamtambulisha rasmi winga mpya Edwin Balua baada ya kumalizana naye kila kitu. Awali usajili huo ulikaribia kuingia mwiba baada ya watani wao…
Dirisha dogo la usajili wa wachezaji kwa upande wa Tanzania, lilifungwa usiku wa kumakia leo , ambapo baadhi ya klabu kubwa kwa ndogo zimeweza kufanya…