WALIOPIGWA PANGA SIMBA HAWA HAPA…BOCCO, NTIBAZONKIZA MHHH…..
UONGOZI wa Simba umeatangaza kuachana na wachezaji wazawa wanne Simba imetangaza kuachana na Shaban Chilunda, Nassor Kapama, Jimmyson Mwanuke na Mohammed Mussa katika kipindi cha…
UONGOZI wa Simba umeatangaza kuachana na wachezaji wazawa wanne Simba imetangaza kuachana na Shaban Chilunda, Nassor Kapama, Jimmyson Mwanuke na Mohammed Mussa katika kipindi cha…
MUDA uliosubiriwa kwa shauku kubwa ni sasa na kila mmoja anaona namna hali halisi ilivyo nchini Ivory Coast kwenye mashindano makubwa Afrika ambayo yameanza kushika…
Kiungo wa timu ya taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’, Feisal Salum ‘Fei Toto’ ameweka wazi kuwa wanaendelea na maandalizi kwa ajili ya kuhakikisha wanafanya vizuri…
Pitia ukurasaa wa mbele wa gazeti la Mwanaspoti la leo Jumanne ya 16/1/2023 kama lilivyochapwa na kusambazwa na MCL.
Singida Fountain Gate imeitupilia mbali ofa ya Simba kuwapa winga Luis Miquissone na Mosses Phiri ili wamnase kiungo Marouf Tchakei Simba ilikuwa tayari kuwatoa mastaa…
MAMBO bado ya moto, kuhusiana na usajili, baada ya kuwepo kwa tetesi za kiungo wa Singida Fountain Gate, Marouf Tchakei kuhusishwa kutua Simba, mwenyewe amefunguka…
Klabu ya Yanga imefanikiwa kunasa saini ya mshambuliaji raia wa Ivory Coast, Joseph Guédé Gnadou akiwa mchezaji huru baada ya kuachana klabu ya Tuzlaspor ya…
SIMBA imemtambulisha nyota mwingine wa kimataifa kutoka nchini Ivory Coast, Freddy Michael Kouablan akitokea klabu ya Green Eagles ya Zambia. Mshambuliaji huyo amesaini mkataba wa…
Kiwango kisichoridhisha cha Moses Phiri na Jean Baleke kwenye Kombe la Mapinduzi hasa katika mechi ya fainali dhidi ya Mlandege juzi kwenye Uwanja wa Amaan,…
NYOTA watatu kati ya sita waliotemwa na Simba katika dirisha dogo, Nassor Kapama, Jimmyson Mwanuke na Shaaban Idd Chilunda wamepata dili baada ya kunaswa na…