admin
STRAIKA MGANDA ANAYEKUJA YANGA HUYU HAPA…..TIMU ALIYOTOKA KAFUNGA GOLI 8 TU….
Yanga imeanza mikakati ya kuimarisha safu yake ya ushambuliaji katika dirisha dogo la usajili litakalofunguliwa Desemba 15 mwaka huu.
Inaripotiwa kuwa mshambuliaji huyo ameshafanya mazungmzo...
PIGA PESA KUPITIA BLACK GOLD KASINO NDANI YA MERIDIANBET….
Unaweza kua moja ya washindi wa mamilioni leo kama utaungana na wajanja wote wa mjini kwa kucheza mchezo wa kasino wa kinyamwezi unaofahamika kama...
ILE KAZI YA ‘KULIKABA’ STRAIKA LA BORUSSIA DORTMUND JUZI…DICK JOB KAFICHUA...
HAIKUWA kazi rahisi kwa safu ya ulinzi ya Taifa Stars iliyoongozwa na mabeki wa kati, Dickson Job na Ibrahim Bacca kumzuia mshambuliaji tegemeo wa...
HAYA HAPA MAJUKUMU YA MOALLIN NDANI YA YANGA KAMA MKURUGENZI WA...
YANGA SC, moja ya klabu kubwa na inayoheshimika katika soka la Tanzania, imefanya mababoresho muhimu katika idara yake ya ufundi kwa kumtangaza Abdihamid Moallin...
BAADA YA KUWAONA WAKIKIWASHA JUZI…FADLU KASEMA HILI KUHUSU MANULA NA CAMARA…
BAADA ya makipa wa Simba, Aishi Manula na Moussa Camara kuuwasha moto katika mechi za kufuzu Afcon 2025, kocha wa kikosi hicho, Fadlu Davids...
TAKWIMU ZINAONGEA..:- KUELEKA RAUNDI YA 11 LIGI KUU..SIMBA ‘BABA LAO’ …YANGA...
TIMU ya Simba inaongoza kwa kufunga mabao kwa vichwa kwenye mechi za Ligi Kuu hadi kufikia raundi ya 10 na baadhi ya michezo ya...
HII HAIPOIA AISEEE…SIMBA KUWAFUATA PAMBA JIJI USIKU WA MANANE….
KIKOSI cha Simba kinaondoka Dar es Salaam leo usiku kuelekea Mwanza kwa ajili ya mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara dhidi ya Pamba Jiji...
KIMARA MWISHO YAFIKIWA NA MERIDIANBET LEO…
Meridianbet wameendelea na utaratibu wao ambao wamekua nao ambapo leo wamefanikiwa kutoa msaada wa jezi eneo la Kimara mwisho jijini Da-es-salaam.
Meridianbet wamefanikiwa kutoa jezi...
GIA ZA CAF SIMBA KUANZA NA MECHI DHIDI YA PAMBA JIJI….FADLU...
KOCHA Mkuu wa Simba, Fadlu Davids, amesema hawatoidharau Pamba Jiji kwa sababu tu haifanyi vema kwenye mechi zake za Ligi Kuu, badala yake wamejindaa...
KOCHA MPYA AANZA BALAA HUKO YANGA….’MGUU WAKE WA KWANZA TIZI’ HUU...
HATIMAYE Kocha Mkuu mpya wa Yanga, Sead Ramovic, raia wa Ujerumani ameanza kukinoa kikosi hicho kwa kishindo na mkwara mzito, kuelekea kwenye mchezo wa...