admin
BAADA YA KUMALIZANA NA DODOMA JIJI JANA…UONGOZI YANGA WAAPA KUFANYA HILI...
Uongozi wa Young Africans umetangaza rasmi vita dhidi ya Mbeya Kwanza FC, baada ya kumalizana na Dodoma Jiji FC jana Jumapili (Mei 15), mjini...
ENG. HERS – SASA TUMERUDI KWENYE RAMANI…TUNAPASWA KUPONGEZWA KWA HILI…
Kikosi cha Young Africans kimewasili salama Jijini Dar es salaam kikitokea Jijini Dodoma, ambako jana Jumapili (Mei 15) kilicheza dhidi ya Dodoma Jiji FC...
KUHUSU ALIPO DEO KANDA NA KWA NINI HATUMINI…MTIBWA SUGAR WAVUNJA UKIMYA…WAITAJA...
Uongozi wa Mtibwa Sugar unaendelea kupambana ili kupata vibali vitakavyomuwezesha Kiungo Mshambuliaji kutoka DR Congo Deo Kanda kujumuika na wachezaji wenzake, katika michezo iliyosalia...
PAMOJA NA KUWA ‘MDEBWEDO’ TENA MSIMU HUU…KIFARU WA MTIBWA SUGAR AVUNJA...
Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasilino ya Klabu ya Mtibwa Sugar Thobias Kifaru amesema bado wana matumaini ya kubaki Ligi Kuu Tanzania Bara...
BARBARA APIGA STOP USAJILI MPYA SIMBA…ADAI WALIOIPIGANIA TIMU WATAPEWA KIPAUMBELE….
Baada ya kumpa mapumziko hadi mwishoni mwa msimu huu Kiungo Mshambuliaji kutoka nchini Ghana Bernard Morrison, Uongozi wa Klabu ya Simba SC umetangaza kuwa...
WARD PROWSE ATAWALIZA LIVERPOOL… AU SALAH ATAENDELEA KUKIWASHA…MZIGO MZIMA NDANI YA...
Southampton kukikaribisha kikosi cha Liverpool Jumanne hii uwanjani St Mary's Stadium!Je Liverpool atakiwasha au Southampton ataibuka na ushindi wa alama 3?Ni kupitia kifurushi cha...
KUELEKEA MSIMU UJAO…PANGA KUBWA KUPITA MSIMBAZI….SURA HIZI NI NGUMU KUBAKI…KAGERE ANAFUATA…
SIMBA haikuwa na mpango wa kufanya usajili mkubwa katiika dirisha kubwa lijalo la usajili baada ya kumalizika kwa msimu huu wa ligi lakini sababu...
KISA MECHI ZA TIMU KUBWA….HIVI NDIVYO WAAMUZI WA BONGO WANAVYOROGWA NA...
Na Masau Bwire.TAKRIBANI matoleo mawili ya nyuma, katika safu hii ya Mpapaso wa Masau Bwire, tumehabarishana kwa ufupi kuhusu ushirikina na uchawi katika soka...
HIVI NDIVYO MORRISON ‘ALIVYOLITAPELI’ SOKA LA BONGO….KASEPA NA ZAIDI YA MIL...
BERNARD Morrison na Simba wameachana. Simba imetoa tamko rasmi jana baada ya kikao cha ndani cha juzi alhamisi baina ya pande zote mbili. Lakini...
YANGA WAMERUDI AISEE….UBINGWA ULEE…MAYELE AJIPA MATUMAINI …AUSSEMS AMPELEKA MORRISON YANGA…
Pitia Ukurasa wa mbele wa gazeti la MwanaSpoti leo Jumatatu.