Home Authors Posts by admin

admin

25221 POSTS 9 COMMENTS

A-Z JINSI YANGA ‘ILIVYOIPAPATUA’ DODOMA JIJI MBELE YA WABUNGE…WALINGOJA GOLI KWA...

0
 BAO la kideo la Dikson Ambundo na Mohamed Yusuf kipa wa Dodoma ambaye alijifuinga yalitosha kuendelea kuipa uongozi Yanga kwenye msimamo wa Ligi Kuu...

ZA NDANII KABISAA….PABLO CHANZO CHA MORRISON KUTEMWA SIMBA…ALIMFUKUZA MCHANA KWEUPEE…

0
IMEISHA. Maisha ya soka ya Benard Morrison ndani ya Simba yamefikia mwisho ndani ya kikosi hicho baada kukitumikia kwa miaka miwili iliyoambatana na visa...

MOSES PHIRI AWAAGA WACHEZAJI WENZAKE ZAMBIA…MENEJA WAKE AFUNGUKA TIMU ATAKAYOICHEZEA TZ…

0
MSHAMBULIAJI wa Zanaco FC ya nchini Zambia, Moses Phiri, rasmi ameaga ndani ya timu hiyo mara baada ya kumalizika kwa msimu huu wa Ligi...

KISA UJIO WA KOCHA MPYA….RONALDO ATOA MSIMAMO WAKE MAN UNITED…”MAMBO LAZIMA...

0
STAA wa kikosi cha Manchester United, Cristiano Ronaldo amesema kuwa kocha wao mpya, Eric ten Hag anahitaji muda na kuona anaacha alama ndani ya...

BAADA YA MORRISON ‘KUFYEKWA SIMBA KIJANJA’…HAWA HAPA MASTAA WENGINE 15 HUENDA...

0
WAKATI kocha Pablo Franco ameendelea kupiga hesabu za kavuna alama zote 21 kwenye mechi saba zilizosalia za Ligi Kuu ili kuongeza presha ya mbio...

FT: DODOMA JIJI 0-2 YANGA SC….AMBUNDO ‘AWAMBUNDUA’ MABOSI ZAKE…YANGA BADO NNE...

0
BAADA ya kucheza mechi tatu bila kupata ushindi hatimaye vinara Yanga wameng’ara ugenini kwa kuichapa Dodoma jiji Mabao 2-0 mchezo wa Ligi Kuu ya...

DAKIKA CHACHE KABLA YA KUKIPIGA NA DODOMA…SURE BOY LAMKUTA JAMBO YANGA…KAZE...

0
CEDRICK Kaze, Kocha Msaidizi wa Yanga, amesema wachezaji wote ambao walikuwa hawapo fiti kutokana na sababu mbalimbali, wameshaanza mazoezi kwa ajili ya mchezo dhidi...

MORRISON AIBUA JIPYA AKIWAGA WENZAKE KAMBINI…KAKUSANYA MPAKA MASHUKA…MZAMIRU AMTUPA YANGA…

0
KUFUATIA taarifa ya kupewa mapumziko mpaka mwishoni mwa msimu huu, kiungo mshambuliaji wa Simba, Bernard Morrison, ameibua mapya kikosini hapo.Morrison ambaye mkataba wake na...

KUELEKEA MSIMU UJAO….SIMBA KUSHUSHA ‘KIFAA HIKI CHA KINIGERIA’….ANAKIPIGA LIGI YA URENO…ISHU...

0
MAJERAHA ya muda mrefu aliyokumbana nayo kiungo wa Simba, Taddeo Lwanga raia wa Uganda, yamewafanya mabosi wa klabu hiyo kukata jina lake na kumtafuta...

‘MPAPATUKO’ WA NBC PREMIER LEAGUE KUENDELEA TENA LEO…RATIBA NZIMA IKO HAPA….

0
MOTO wa Ligi Kuu Tanzania Bara inaendelea leo kwa timu kusaka ushindi ndani ya uwanja ikiwa ni mzunguko wa pili.Mbeya City watakuwa na kazi...
329,001FansLike
12,344FollowersFollow
16,900SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS