admin
DAKIKA CHACHE KABLA YA KUKIPIGA NA SIMBA LEO…KIIZA AIBUKA NA HILI...
Mshambuliaji kutoka nchini Uganda na klabu ya Kagera Sugar Hamis Kiiza ‘Diego’ amesema anatarajia mchezo mgumu dhidi ya Simba SC leo Jumatano (Mei 11),...
KISA SARE TATU…KAZE AWAAMBIA YANGA WAACHE KULALAMIKA LALAMIKA HOVYO…WANAWAHARIBU WACHEZAJI…
Kocha Msaidizi wa Yanga Sc, Cedrick Kaze raia wa Burundi amesema malalamiko amesema malalamiko ya baadhi ya mashabiki yanavunja moyo wachezaji wa timu hiyo.Kaze...
MAMBO TAYARI HUKOO JAMENI….MKUDE,LWANGA, MORRISON NA TADEO LWANGA ‘OUT’ SIMBA….
Viungo wanne wa Mabingwa wa Soka Tanzania Bara Simba SC leo Jumatano (Mei 11) wataukosa mchezo wa Ligi Kuu dhidi ya Kagera Sugar, utakaounguruma...
IMEISHA HIYOOO….RUDIGER AIPIGA CHINI CHELSEA MAZIMA,..MADRID WAJIOKETEA TENA EMBE KWENYE MBUYU…
Beki wa klabu ya Chelsea na timu ya taifa ya Ujerumani Antonio Rudiger amekubali kujiunga na klabu ya Real Madrid mara baada ya kutosaini...
SIMBA vs KAGERA SUGARA: PABLO AFUNGUKA KUTOJUA CHOCHOTE KUHUSU UBINGWA WA...
Kagera Sugar wako jijini Dar es Salaam tayari kwa mechi dhidi ya Simba huku benchi la ufundi la timu hiyo likisisitiza kwamba hakuna namna...
KUELEKEA MSIMU UJAO…YANGA ‘WACHEUA’ KUMSAJILI BIGIRIMANA….KUMBE DILI LILIKWAMIA HAPA BANA…
YANGA imeachana na usajili wa kiungo nyota wa Kiyovu ya hapa Rwanda, Abeid Bigirimana, Lakini usajili wa beki wa kushoto wa Uganda, Mustafa Kizza...
DAH…CHAMA NDIO BASI TENA ….AFUNGUKA SHIDA ANAYOIPITIA SIMBA…HATACHEZA KWA MWEZI MZIMA…
KIUNGO fundi wa Simba, Clatous Chama hataonekana kwenye mechi wala mazoezini kwa mwezi mmoja kutokana na majeruhi yake,.Staa huyo kipenzi cha mashabiki aliyekuwa analipwa...
KISA SARE MFULULIZO YANGA..MANARA AWATUPIA LAWAMA WACHAMBUZI…ADAI WANAVURUGA TIMU YAO…
Msemaji wa Young Africans Haji Sunday Ramadhan Manara anaamini Baadhi ya Waandishi wa Habari na Wachambuzi wa Soka la Bongo wanatumika kuwavuruga Mashabiki na...
BAADA YA KUMUONA MAYELE ANAVYOTETEMA TETEMA …TAMBWE KATIKISA KICHWA..KISHA AKASEMA HAYA..
STRAIKA wa zamani wa Simba, Mrundi, Amissi Tambwe, amemtaja Mkongomani, Fiston Mayele ndiye mshambuliaji bora ndani ya Ligi Kuu Bara msimu huu.Tambwe ni kati...
PAMOJA NA TETESI ZA KUTAKIWA NNJE..ONYANGO ANOGEWA NA UTAMU WA SIMBA…AKUBALI...
BEKI wa kati wa Simba raia wa Kenya, Joash Achieng Onyango, amekubali kuongeza mkataba wa kuendelea kukipiga ndani ya timu hiyo.Hiyo ikiwa ni siku...