MAGAZETI: BALEKE ATEGEWA MTEGO KISA CHAMA…MTAALAMU WA YANGA AIBIWA
March 27, 2023,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma za Magazeti ya leo Tanzania
March 27, 2023,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma za Magazeti ya leo Tanzania
Mchezaji wa Taifa Stars Simon Msuva baada ya kuisaidia Taifa Stars kwa kufunga goli 1-0 dhidi ya Uganda wamerejea nchini leo wakitokea Misri walipocheza mchezo…
Beki wa Simba raia wa Burkina Faso, Mohamed Outtara ameanza mazoezi baada ya kuwa nje ya uwanja kwa muda akisumbuliwa na majeraha Ouattara hakuwa sehemu…
Timu ya JKT Tanzania imeendeleza wimbi la ushindi katika Ligi ya Championship baada ya kuichapa Transit Camp bao 1-0 jana Uwanja wa Meja Jenerali Isamuhyo,…
Kocha Mkuu wa Timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ Adel Amrouche ni kama amempiga kijembe mpinzani wake Kocha wa Timu ya Taifa ya Uganda…
Wakati mahojiano ya Rais wa heshima wa Klabu ya Simba SC, na mdhamini wa Klabu hiyo Mohammed Dewji yakizidi kuwaacha watu na maswali, baadhi ya…
Mabeki wa Simba, Shomari Kapombe Na Mohamed Hussein ‘Tshabalala’ wameongezwa kwenye kikosi cha timu ya taifa ‘Taifa Stars’ kinachojiandaa na mchezo wa marudiano wa kufuzu…
WAKATI ligi mbalimbali zikielekea ukingoni, kuna rundo la wachezaji wapo nje ya uwanja wakiuguza majeraha waliyoyapata katika majukumu yao msimu huu na wengine hawajatumikia kabisa…
KWA sasa ukimgusa shabiki yeyote wa Yanga tu atakwambia kwa jeuri niache, hii ni kutokana na chama lao kuongoza michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika…
KIKOSI cha Simba kimerejea kambini kujiandaa na mechi zijazo baada ya wachezaji wasioitwa timu za taifa kumaliza mapumziko ya siku tano, huku Kocha Mkuu Roberto…