KOCHA WA TAIFA STARS...AWATAFUTA KAPOMBE NA TSHABALALA
Habari za michezo

SHOMARI KAPOMBE NA MOHAMED HUSSEIN “TSHBALALA”… WAITWA KUONGEZA NGUVU TAIFA STARS

Marce Ben Komba March 26, 2023 3:58 pm

Mabeki wa Simba, Shomari Kapombe Na Mohamed Hussein ‘Tshabalala’ wameongezwa kwenye kikosi cha timu ya taifa ‘Taifa Stars’ kinachojiandaa na mchezo wa marudiano wa kufuzu fainali za Mataifa ya Afrika (AFCON) dhidi ya Uganda.,

Hayo yamesemwa na Rais wa TFF, Wallace Karia wakati akizungumza na Waandishi wa Habari jijini Dar es Salaam.,

“Maneno yalikuwa mengi sana baada ya uteuzi uliofanyika mwanzoni lakini tumeona matunda yake, kuongezwa kwa Kapombe na ‘Tshabalala’ ni pendekezo la Kocha Mkuu, Adel Amroache na tayari wamejiunga kambini na wenzao,” amesema Karia.

MASTAA WA SOKA TANZANIA…WANAKATAA TIBA YA HOSPITALI…WANAENDA KUCHANJWA CHALE RAISI WA SIMBA MO DEWJI…KILA SIKU UNALALAMIKA HASARA… KAMA UMEOCHOKA ACHIA TIMU

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply