KOCHA TAIFA STARS:- HAKUNA SABABU YA KUSINGIZIA…TUTAWAPA FURAHA WATANZANIA
Kocha wa Taifa Stars, Adel Amrouche ameeleza namna ambavyo kikosi chake kipo tayari kwa mchezo wa kuwania nafasi ya kufuzu kwa ajili ya fainali za…
Kocha wa Taifa Stars, Adel Amrouche ameeleza namna ambavyo kikosi chake kipo tayari kwa mchezo wa kuwania nafasi ya kufuzu kwa ajili ya fainali za…
Kiungo wa Yanga na timu ya Taifa, Taifa Stars, Feisal Salum ‘Fei Toto’ amepewa mazoezi maalumu kwa ajili ya kumuongezea fitinesi kuelekea kwenye mchezo wa…
Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Hamisi Mwinjuma ‘Mwana FA’ amesema kuwa Mashindano ya Ndondo Cup yanayoratibiwa na mtangazaji Shaffih Dauda yatafanyika. Kauli ya…
Mambo yanazidi kuwa magumu kwa The Tigers Queens ya Arusha baada ya kupokea kipigo kingine kikubwa jana kwenye Ligi Kuu ya Wanawake Tanzania Bara. Tigers…
Kumekuwa na stori nyingi kwenye mitandao ya kijamii kuwa Yanga itawakosa wachezaji wake wengi kwenye mchezo ujao wa Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya TP…
Beki wa Kushoto wa Simba SC Mohamed Hussein ‘Tshabalala’ ameitakia kila la kheri timu ya taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ ambayo baadae leo Ijumaa (Machi…
Wachezaji tegemeo ndani ya kikosi cha Simba, Kibu Denis na Mohammed Hussein ‘Tshabalala’ wanatarajiwa kuukosa mchezo dhidi ya Raja Casablanca. Simba ambayo ipo nafasi ya…
Wakati mabosi wa timu ya Ihefu FC, wakiendelea kujiridhisha na uwezo wa straika wao mwenye rasta raia wa Burkina Faso, Yacouba Sogne, mabosi wake wa…
Upo uwezekano mkubwa wa Kocha Mkuu wa Yanga, Mtunisia Nasreddine Nabi kumuondoa beki mmoja wa kati katika kikosi chake cha kwanza na kumuingiza Ibrahim Hamad…
Uongozi wa Yanga umeweka wazi kuwa usajili wa nyota wa Zambia, Kennedy Musonda ni wa kimkakati kutokana na jicho lake kwenye kufunga. Musonda ameibuka ndani…