WAZIRI "MWANA FA:- AWAFUNGA MDOMO TFF...NDONDO CUP 2023 ITAFANYIKA
Habari za michezo

WAZIRI “MWANA FA:- AWAFUNGA MDOMO TFF…NDONDO CUP 2023 ITAFANYIKA

Marce Ben Komba March 24, 2023 3:42 pm

Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Hamisi Mwinjuma ‘Mwana FA’ amesema kuwa Mashindano ya Ndondo Cup yanayoratibiwa na mtangazaji Shaffih Dauda yatafanyika.

Kauli ya kiongozi huyo wa Serikali imekuja ikiwa ni siku moja baada Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kusema kuwa shindano hilo halijapata kibali cha mamlaka hiyo ili liweze kufanyika.

Mwana FA amesema jambo hilo halina ugumu wowote kwani taratibu zitafuatwa na litafanyika kwa kuwa muda bado upo wa kutosha na kuondoa sintofahamu kwa walioamini huenda Ndondo Cup isifanyike mwaka huu.

HAYA HAPA MAGOLI YA AJABU YALIYOFUNGWA LIGI KUU TANZANIA FEISAL SALUM “”FEI TOTO” ATENGWA NA KIKOSI…ANAPEWA MAZOEZI PEKE YAKE

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply