MAYELE TUZO YA MFUNGAJI BORA IPO PALEPALE…USHINDI KWETU LAZIMA…TUNAHITAJI MAGOLI
Mshambuliaji wa Mabingwa wa Soka Tanzania Bara Young Africans(YANGA) Fiston Kalala Mayele, amesema kwa namna pekee itakayomfanya afanikishe malengo ya kutwaa Tuzo ya Ufungaji Bora…