ALI KAMWE LOLOTE LITAFANYIKA MWARABU AFE...TUNGULI RUKSA...DUA RUKSA
Habari za michezo

ALI KAMWE:- LOLOTE LITAFANYIKA MWARABU AFE…TUNGULI RUKSA…DUA RUKSA…

Marce Ben Komba March 14, 2023 3:11 pm

Ali kamwe :”tunaenda kwenye matawi yetu makubwa kabisa ya Yanga pale kwa Mtogole kuna tawi kubwa, Kariakoo hapa kuna tawi kubwa.

Tutawaambia viongozi wa matawi kuwa kama kuna lolote wanaweza kufanya sisi tunawaruhusu wafanye ili mradi Yanga ishinde.

Tunaenda kwenye matawi kuwaambia wafanye vyovyote vile, kama ni kusoma Dua sawa, na lolote wanaloona litatusaidia, lakini lazima mwarabu afe.

Ally Kamwe, Afisa Habari Yanga SC.

SABABU ZA KAPOMBE NA ZIMBWE KUTEMWA…KAPOMBE HANA SPIDI…ZIMBWE JR HANA UMAKINI SIMBA VIGEREGERE TU….WAFURAHIA KAPOMBE NA TSHABALALA KUTEMWA STARS…KWA MKAPA HATOKI MTU

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6131

Leave a Reply