MTIBWA SUGAR YAMUENZI BEKI WAO...JEZI YAKE KUSITISHWA MATUMIZI...MISIMU 4 JEZI HAITOTUMIKA Iddy Mobby Mfaume
Ligi Kuu

MTIBWA SUGAR KUSITISHA MATUMIZI YA JEZI…WAMUENZI BEKI WAO…ALIYEFARIKI MARCH 5

Marce Ben Komba March 14, 2023 10:25 pm

Mtibwa Sugar wamesitisha matumizi ya jezi Namba 4 kwa misimu minne ili kumuenzi Beki wao Iddy Mobby Mfaume ambaye alikuwa anatumia namba hiyo.

Iddy Mobby alifariki Dunia Machi 5, Katika Hospital ya Benjamin Mkapa Jijini Dodoma.

MGUNDA SIMBA TUNAUTAKA UBINGWA LIGI KUU…”POINTI TULIZOPITWA NI CHACHE SANA…”HAIJAISHA MPAKA IWE IMEISHA KABISA KOCHA NAMUNGO FC…”WACHEZAJI HAWAKUWA KATIKA HALI NZURI…KILA WAKATI WANARUDIA MAKOSA YALE YALE

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply