Calvine Massawe
USIYOYAJUA KUHUSU MKATABA MPYA WA SIMBA NA JAYRUTTY
KAMPUNI ya Jayrutty Investment Limited imeahidi kuijenga klabu ya Simba Uwanja wa kisasa wenye uwezo wa kuingiza mashabiki 10,000.
Ahadi hiyo imetolewa na Mwanzilishi na...