AHMED ALLY ASHINDWA KUVUMILIA AITETEA SARE YA SIMBA,AFUNGUKA HAYA
Baada ya Simba kulazimishwa sare ya mabao 2-2 dhidi ya Power Dynamos jana Septemba 16 nchini Zambia katika Dimba la Levy Mwanawasa. Meneja wa habari…
Baada ya Simba kulazimishwa sare ya mabao 2-2 dhidi ya Power Dynamos jana Septemba 16 nchini Zambia katika Dimba la Levy Mwanawasa. Meneja wa habari…
Baada ya kuwa nje ya Uwanja akitumikia adhabu yake ya kutojihusisha na soka kwa miaka miwili. Aliyekuwa Afisa Habari wa YangaHaji Manara hii leo Septemba…
Baada ya mtangazaji Jemedari Said kuwakosoa Yanga juu ya ishu ya kusema mabasi yanayosafiri na mashabiki kwenda Rwanda yatakuwa na viongozi wa Yanga halafu isiwe…
KIUNGO mwenye ufundi mwingi mguuni, Clatous Chama, jana aliibuka shujaa ndani ya kikosi cha Simba baada ya kufunga mabao mawili katika sare ya 2-2 dhidi…
KOCHA Mkuu wa Azam FC, Yousouph Dabo, amesema kikubwa ambacho wachezaji wake wanatakiwa kukifanya ikiwa ni pamoja na kiungo Feisal Salum na mshambuliaji Prince Dube…
Wenyeji, Mashujaa wameibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Ihefu SC katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara Uwanja wa Lake Tanganyika…
Simba jana ililazimisha sare ya mabao 2-2 ugenini mbele ya wenyeji Power Dynamos mjini Ndola, Zambia kazi kubwa ikifanywa na Clatous Chama aliyefunga mabao mawili…
Mchambuzi wa TV3 Alex, Ngereza amedai kuwa timu ya soka ya Yanga SC imekuwa kikikutana na vibonde kwenye mashindano ya CAF ndiyo maana inashinda kirahisi…
Clatous Chota Chama ama Mwamba wa Lusaka kama wengi wanavyopenda kumwita, alikuwa katika ardhi ya Nyumbani kwao Zambia, katika jiji la Ndola. Chama mzaliwa wa…
Habari mwanamichezo mwenzangu kutoka Dar es salaam leo ni asubuhi nyingine nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika magazeti ya michezo