SIMBA KUWATUMIA KAGERA SUGAR KAMA DARAJA LIGI KUU, UONGOZI WAFUNGUKA HAYA
Ahmed Ally ambaye ni Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Simba SC, amesema wanahitaji ‘ufufuo’ kupitia Kagera Sugar Ijumaa hii katika mechi ya Ligi Kuu…
Ahmed Ally ambaye ni Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Simba SC, amesema wanahitaji ‘ufufuo’ kupitia Kagera Sugar Ijumaa hii katika mechi ya Ligi Kuu…
Baada ya kuipa Ihefu FC pointi tatu dhidi ya Yanga, kabla hajatupiwa virago kocha mkuu wa Mtibwa Sugar, Zuberi Katwila amesema hana presha na mchezo…
Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA) limeiondolea klabu ya Yanga adhabu ya kufungiwa kusajili wachezaji baada ya kumlipa mchezaji Gael Bigirimana. Bigiramana alikuwa mchezaji wa…
AHMED Ally ambaye ni Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Simba, amefurahishwa na mabadiliko ya muda mfupi ya kikosi chao ikiwa ni siku chache tangu…
Habari mwanamichezo mwenzangu kutoka Dar es salaam leo ni asubuhi nyingine nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika magazeti ya michezo
Habari mwanamichezo mwenzangu kutoka Dar es salaam leo ni asubuhi nyingine nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika magazeti ya michezo
Leo hii Bayer, Arsenal, Inter, Napoli, Galatasaray, Benfica na wengine wanataka kukupa kupitia meridianbet ambapo utatakiwa kuingia na kubashiri mechi zako za ushindi na ukipatia…
Kocha Mkuu wa Young Africans Miguel Gamondi amemjibu Kocha Mkuu wa Mtibwa Sugar Zuberi Katwila, kwa kusema hasira zake zote atazihamishia katika mchezo wa Ligi…
Aliyekuwa kocha wa klabu ya Namungo FC ya Lindi, Denis Kitambi ameachana na klabu hiyo. Jana (Jumatatu) baada ya mazoezi alipata muda wa kuwaaga wachezaji…
Baada ya kuambulia matokeo mabaya kwenye Michuano ya Ligi ya Mabingwa Barani Afrika, Miamba ya Soka la Bongo Simba SC na Young Africans inatarajia kurudi…