Staff Desk
ISHU YA MAYELE KUBAKI AU KUONDOKA UONGOZI WA YANGA WATOA NENO...
MSHAMBULIAJI wa Yanga, Mkongomani, Fiston Mayele amefikia sehemu nzuri ya mazungumzo yake na Yanga kuhusiana na mkataba wake mpya.
Awali ilielezwa kuwa, Mayele ambaye amebakiza...
BEKI MPYA WA SIMBA AFUNGUKA MAZITO
SIMBA imekwea jana kwenda Uturuki kuweka kambi ya mazoezi ya siku kadhaa. Watakuwa kwenye ardhi ya nchi moja na Hull City ya England. Lakini...
BAADA YA MKUDE KUTUA RASMI YANGA…. HUYU NDIE ANAEFUATA
Nahodha wa AS Maniema Union ya DR Congo, Maxi Mpia amewasili nchini wa leo Julai 12, 2023 kukamilisha dili la kujiunga na mabingwa watetezi...
ISHU YA MGUNDA KUSALIA NCHINI SIMBA IKIELEKEA UTURUKI IKO HIVI
Hatima ya kocha msaidizi wa klabu ya Simba SC, Juma Mgunda, inaning’inia, ndani ya timu hiyo.
Mgunda, aliyejiunga na klabu hiyo Septemba 7 mwaka jana,...
DUH! YANGA WAMEMPITIA, NI KIRAKA WA ASEC ALIYEKUWA RADA ZA SIMBA….....
Habari mwanamichezo mwenzangu kutoka Dar es salaam leo ni asubuhi nyingine nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika magazeti ya michezo
KOCHA WA SINGIDA FOUNTAIN GATE AITAMBIA SIMBA MAANDALIZI YAO SIO POA
Kocha Mkuu wa Singida Fountain Gate, Hans Pluijm amesema ameanza kukisuka kikosi chake kuelekea mechi yao ya Ngao ya Jamii dhidi ya Simba SC...
SIMBA KUNEEMEKA KUTOKA CAF BAADA YA LIGI KUBADILISHWA JINA
SHIRIKISHO la Soka Barani Afrika(CAF) limebadilisha jina la mashindano yake mapya, lakini Rais wake,Patrice Motsepe amesisitiza kwamba yatakuwa na neema kubwa ya mkwanja Simba...
SIRI YA GAMONDI KUTUA YANGA YAFUCHUKA, NABI AHUSISHWA
Dar es Salaam. Kocha wa Yanga, Migel Gamondi amesema mafanikio makubwa iliyopata Yanga msimu uliopita ndiyo sababu kubwa iliyomvuta Jangwani, kwani yeye ni muumini...
KOCHA WA YANGA AKUTANA NA MASTAA WA KLABU HIYO LEO KWA...
Kocha Mkuu mpya wa Young Africans Miguel Gamondi, leo Jumatano (Julai 12) anakutana na wachezaji wake kwa mara ya kwanza, kuanza mazoezi ya ‘Gym’...
BAADA YA SIMBA KUMTEMA MKUDE KOCHA WA YANGA KUAMUA JAMBO HILI
Mabingwa wa Soka Tanzania Bara Young Africans wameshamalizana kimazungumzo na Kiungo Mzawa, Jonas Mkude lakini imeliacha faili lake kwa Kocha Miguel Gamondi afanye uamuzi...