Staff Desk
YANGA WANATAKA KUPITA NA UPEPO WA MAPINDUZI CUP WAJA NA MWAMBA...
Mabingwa wa Soka Tanzania Bara Young Africans wameingia kambini leo Jumanne (Desemba 27) kuanza kujiwinda na mchezo wa kwanza wa Kombe la Mapinduzi dhidi...
KOCHA ASEC: SANKARA AENDE YANGA
Habari mwanamichezo mwenzangu kutoka Dar es salaam leo ni asubuhi nyingine nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika magazeti ya michezo
BANDA SASA ANATAKIWA KUONGEA LUGHA MOJA NA MBRAZIL
Singida Fountain Gate, iko mbioni kukamilisha usajili wa aliyekuwa winga wa Simba, Peter Banda, huku kocha mkuu wa kikosi hicho Mbrazili Ricardo Ferreira akiachiwa...
YANGA HAINA KUPOA HAPA SANKARA, MSUVA HERSI AFANYA UNYAMA
Yanga inaendelea na hesabu za usajili kimyakimya ikitaka kuboresha kikosi kabla ya kurejea katika michuano mapema mwakani ikiwamo Ligi ya Mabingwa na Ligi Kuu...
SIMBA NA CHAMA SASA ISHU IKAE HIVI TU
Hakuna kitu kibaya kama kutoaminika kwenye maisha. Simba na Clatous Chama wamekuwa na ndoa ya muda mrefu, lakini hakuna anayemuamini mwenzake.
Ni kweli Chama bado...
BENCHIKHA SIO POA SASA NI VITA KAMILI
Kocha Mkuu wa Simba, Abdelhak Benchikha anapeleka kikosi katika michuano ya Kombe la Mapinduzi 2024, inayotarajiwa kuanza kesho 28, huku kichwani akiwa na mambo...
MSEMAJI WA SIMBA AFUNGUKA HAYA BAADA YA KUTAJWA FIFA
Klabu ya Simba SC imeweka wazi kuwa, timu yao itajipanga vyema kuvuna alama za kutosha katika Ligi ya Mabingwa Barani Afrika msimu huu 2023/24,...
KWA HILI LA FEI TOTO LIPO LA KUJIFUNZA
Feisal Salum ‘Fei Toto’ ameendelea pale pale alipoishia. Si ajabu amezidi kuwa wa moto zaidi akiwa na jezi ya Azam FC. Kama alivyomtungua Aishi...
UMAKINI ANAO UTAKA BENCHIKHA UNAAMBIWA KAMA JESHINI
Baada ya kukiangalia kikosi cha timu yake, Kocha Mkuu wa Simba, Abdelhak Benchikha, ni kama ametoa angalizo kwa viongozi wa klabu hiyo kuwa makini...
UWEPO WA MAXI KOMBE LA MAPINDUZI KOCHA ATOA TAMKO HILI
Yanga imeanza maandalizi ya michuano ya Kombe la Mapinduzi 2024 inayoanza Alhamisi, huku safu yake ya ushambuliaji ikizalisha mabao mengi ikiongozwa na Stephane Aziz...