AHMED ALLY AFUNGUKA HALI MBAYA WANAYOPITIA
Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Simba, Ahmed Ally kupitia Instagram amefunguka sare iliyopata timu hiyo 1-1 na ASEC Mimosas mechi ya kwanza Ligi ya…
Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Simba, Ahmed Ally kupitia Instagram amefunguka sare iliyopata timu hiyo 1-1 na ASEC Mimosas mechi ya kwanza Ligi ya…
Habari mwanamichezo mwenzangu kutoka Dar es salaam leo ni asubuhi nyingine nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika magazeti ya michezo
OFFICIAL: Kikosi cha SIMBA SC kinachoanza dhidi ya Asec Mimosa Lakred Israel Zimbwe Jr Inonga Kennedy Che Malone Ngoma Mzamiru Kibu D Saido Baleke
Kwenye hii michuano mikubwa unahitaji wachezaji wako wote wawe na siku nzuri kazini ili uweze kufanya vizuri. Yanga jana wamem-miss Djigui Diarra golini hivyo build-up…
Msemaji wa Klabu ya Yanga, Ally Kamwe amedai kuwa wao walimiliki zaidi mpira lakini wapinzani wao, kwenye mchezo wa kwanza wa hatua ya makundi ya…
INGEKUWA ni kadi ya mnuso, ingesomeka; “Mashabiki bora wa AFL leo wanalialika Taifa kwenye Mtoko wa Kimataifa utakaofanyika saa 10 Jioni kwenye Uwanja wa Mkapa.…
KWA mara ya kwanza kwenye soka la Tanzania, klabu za Simba na Yanga zinatengeneza historia kwa kucheza kwa pamoja hatua ya makundi ya Ligi ya…
HUENDA ulikuwa hujui. Sasa sikia hii. Michuano ya Klabu Bingwa Afrika (sasa Ligi ya Mabingwa Afrika) wakati inaanzishwa rasmi mwaka 1964-1965, timu za Afrika Magharibi…
MABINGWA wa Tanzania, Yanga SC wameanza vibaya hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika baada ya kuchapwa mabao 3-0 na wenyeji, CR Belouizdad usiku…
Habari mwanamichezo mwenzangu kutoka Dar es salaam leo ni asubuhi nyingine nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika magazeti ya michezo