MASTAA WATAKAO IUA AL AHLY WAWEKWA WAZI SIMBA
Uongiozi wa Simba umeweka wazi kuwa uwepo wa wachezaji wanaofanya vizuri kwenye kikosi hicho eneo la uwanja wa mazoezi ni nguvu kubwa kuelekea mchezo wao…
Uongiozi wa Simba umeweka wazi kuwa uwepo wa wachezaji wanaofanya vizuri kwenye kikosi hicho eneo la uwanja wa mazoezi ni nguvu kubwa kuelekea mchezo wao…
Bondia wa ngumi za kulipwa Tanzania, @hassanmwakinyojr amemuombea msamaha Haji Manara kwa Kamati ya Nidhamu ya TFF kumsamehe adhabu yake. Manara amefungiwa miaka miwili kujihusisha…
Simba na Yanga walikuwa na Hajis Manara lakini kwa sasa anatumikia adhabu ya kifungo alichopewa na Shirikisho la mpira wa miguu Tanzania “TFF”. Mtu akiniuliza…
Saa chache kabla ya kushuka dimbani, Simba SC imesema leo Ijumaa (Oktoba 20) itadhihirisha ukubwa wake kwa mashabiki wa soka Duniani kwa kuifunga Al Ahly…
Mchambuzi wa masuala ya soka nchini, Salama Ngale amesema kuwa safu ya kiungo ya Klabu ya Simba bado inapwaya hivyo kocha wao, Robertinho anapaswa afanye…
Leo dunia ya soka itahamia Tanzania katika Uwanja wa Benjamin Mkapa. Ni katika uzinduzi wa michuano mipya ya African Football League ambapo pamoja na shamrashamra…
Habari mwanamichezo mwenzangu kutoka Dar es salaam leo ni asubuhi nyingine nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika magazeti ya michezo
Mastaa wa Yanga wamekiri kwamba wana njia ngumu mbele yao haswa katika mechi nne mfululizo zinazofuata kwenye Ligi Kuu ya Bara. Mechi hizo ambazo nyingi…
Ni mchezo mkubwa kwa Tanzania na Afrika kwa ujumla, utakuwa mchezo mzuri sana. Ni nafasi nzuri kwa klabu yetu na sisi wachezaji kuonesha kiwango kizuri…
Mchambuzi wa masuala ya soka nchini kupitia Wasafi Media, Nasir Khalfan amesema kuwa kipa namba tatu wa Yanga, Aboutwalib Mshery anapaswa aondoke kwenye klabu hiyo…