Latest Posts

Habari za Yanga SC

MASTAA HAWA YANGA WAITWA TIMU ZA TAIFA

Wachezaji watatu wa kigeni Yanga SC, kipa wa Kimataifa wa Mali, Djigui Diarra na viungo Mganda Khalid Aucho na Mburkinabe Stephane Aziz Ki wamekwenda kujiunga…

Simba SC

SIMBA WAOMBE MASTAA WAO WASIITWE

Kuelekea maandalizi ya mchezo wa ufunguzi wa African Football Legue [Simba vs Al Ahly] huenda Simba ikawakosa nyota kadhaa endapo wataitwa na kwenye timu zao…

SIMBA SC YAPEWA REFA WA YANGA

Habari mwanamichezo mwenzangu kutoka Dar es salaam leo ni asubuhi nyingine nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika magazeti ya michezo