Latest Posts

PACOME,MUDA WAWEKA REKODI

Habari mwanamichezo mwenzangu kutoka Dar es salaam leo ni asubuhi nyingine nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika magazeti ya michezo

Tetesi za Usajili Simba

ROBERTINHO ATAMBA AWAPA NENO HILI MASHABIKI

Kocha Mkuu wa Simba, Roberto Oliviera ‘Robertinho’ amesema kuwa timu yake ina kikosi kipana hivyo imemsaidia yeye kufanya mabadiliko na kupata ushindi pale anapotaka. Robertinho…

hafiz konkani

HUYU HAPA MRITHI WA KONKANI YANGA

Taarifa kutoka ndani ya Klabu Yanga zinaeleza kuwa, timu hiyo inahusishwa kumnyemelea mshambuliaji wa Gor Mahia, Benson Omalla Ochieng katika usajili wa dirisha dogo mwezi…

SIMBA, YANGA MSIBWETEKE KIMATAIFA

Baada ya makundi kupangwa kwa sasa ni muda wa kuanza kufanya maandalizi kwa ajili ya kupata matokeo chanya kwenye mechi za ushindani. Katika Ligi ya…

Habari za Simba

KOCHA IHEFU AFUNGUKA KILICHOWAPONZA

Kipigo cha bao 1-0 ilichopewa Ihefu kutoka kwa KMC ikiwa ni siku chache tu tangu iizime Yanga, kimemfanya kocha mkuu wa timu hiyo ya jijini…

MAKUNDI CAF….. NI KISASI TUPU

Habari mwanamichezo mwenzangu kutoka Dar es salaam leo ni asubuhi nyingine nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika magazeti ya michezo