SIMBA, YANGA KUKIPIGA KUNDI MOJA CAFCL
Tanzania imeweka historia kwa mara ya kwanza timu zake mbili kutinga hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika, hii ni baada ya mapacha wa…
Tanzania imeweka historia kwa mara ya kwanza timu zake mbili kutinga hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika, hii ni baada ya mapacha wa…
Habari mwanamichezo mwenzangu kutoka Dar es salaam leo ni asubuhi nyingine nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika magazeti ya michezo
Habari mwanamichezo mwenzangu kutoka Dar es salaam leo ni asubuhi nyingine nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika magazeti ya michezo
Kocha Mkuu wa JKT Tanzania, Malale Hamsini amesema sababu kubwa ya timu hiyo kushindwa kutamba katika mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Kagera Sugar…
Wekundu wa Msimbazi Simba SC kwa mara nyingine katika Uwanja wa Chamazi Complex Jijini Dar es Salaam wanaonesha ukubwa wao wakikata tiketi ya kutinga hatua…
Hadi sasa wanachokifanya Yanga Sc tangu kuanza kwa msimu huu wa mashindano mbalimbali unaweza ukaona kama ni bahati kwa jicho la kishabiki ila kiuhalisia hapana…
Mshambuliaji hatari wa Azam FC, Prince Dube anatarajia kuukosa mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara dhidi ya Dodoma Jiji FC utakaopigwa Oktoba 3 kutokana na…
Kuelekea mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Power Dynamos, Kocha Mkuu wa Simba, Roberto Oliveira ‘Robertinho’, amewapa majukumu mazito viungo wa timu hiyo…
Miamba ya Morocco, FAR Rabat inayonolewa na aliyekuwa Kocha wa Yanga SC, Nasreddine Nabi imeaga mashindano ya Ligi ya Mabingwa Afrika kufuatia kipigo cha jumla…
Yanga imeondoa gundu la kushindwa kutinga makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika kwa miaka 25 iliyopita baada ya kutinga kibabe kwa kuing’oa Al Merrikh ya…