Latest Posts

MAXI, PACOME WATISHA WASUDANI

Habari mwanamichezo mwenzangu kutoka Dar es salaam leo ni asubuhi nyingine nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika magazeti ya michezo

KIUNGO WA YANGA MAMBO MAGUMU

  Kiungo wa zamani wa Yanga, Abdulaziz Makame ‘Bui’, baada ya kukosa timu ya kuichezea anapigia mahesabu usajili wa dirisha dogo, huku akieleza anavyotakiwa kujitoa…

Yanga vs Namungo

YANGA YAANZA NA HESABU HIZI KALI CAF

Kikosi cha Young Africans kimerudi uwanjani kujifua baada ya kutoka kucheza mchezo mgumu wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Namungo iliyoamua kucheza nusu uwanja ili…

SIMBA INAMTU HUYU MMOJA TU

Mchambuzi wa masuala ya soka nchini kupitia East Africa Radio, Abissay Stephen amesema kuwa Klabu ya Soka ya Simba Sc ina mtu mmoja tu ambaye…

Habari za Yanga

MUDATHIR AGEUKA MWIBA HUKO LIGI KUU

Timu yoyote itakayocheza na Yanga kisha kuona kiungo Mudathir Yahya akianzia benchi, kisha akaingizwa kwa mabadiliko, basi lazima ijipange kwani huyo jamaa ana balaa na…