RASMII…DIARA AANZA KUWATIA TUMBO JOTO YANGA….MABOSI WAGAWANYIKA…ANATAKA KUSEPA..

0
Habari za Yanga Leo, Diarra

VIUNGA vya Jangwani mambo yanaonekana kana kwamba yamepoa, kikosi cha Yanga kikiwa mawindoni katika viwanja vya mazoezi kujiwinda na michezo iliyobaki kumalizia msimu huu wa Ligi Kuu Bara na fainali ya Kombe la Shirikisho (FA). Hata hivyo, huku nyuma Yanga inaendelea na mkakati wa kuuza mastaa wa kikosi hicho na sasa staa mwingine ambaye anapasua vichwa vya mabosi wa klabu...

BENCHIKA AFICHUA UZEMBE WA SIMBA KUMKOSA CAMARA NA KUMLETA BABACAR SARR….

0
Habari za Michezo leo

HUENDA hii isiwe taarifa nzuri kwa Wanasimba ambao juzi waliishuhudia timu yao ikivaana na RS Berkane ya Morocco katika pambano la marudiano ya fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika lililochezwa kwenye Uwanja wa New Amaan, mjini Unguja Zanzibar. Katika mechi ya awali ugenini ambayo Simba ililala 2-0, kuna kiungo mmoja fundi wa RS Berkane aliwavuruga Wekundu wa Msimbazi na kufunga...

ALICHOKISEMA FADLU BAADA YA SIMBA ‘KUNYONGWA CAF’ JUZI….

0
Habari za Simba leo

SIMBA imeumia. Mashabiki wamebeba majonzi. Viongozi wamesalia na maswali. Lakini katikati ya huzuni hii nzito, moto mpya unawashwa Msimbazi. Moto wa mageuzi. Moto wa kulipiza kisasi kwa njia ya mafanikio katika michuano ya CAF kwa msimu ujao wa 2025-2026. Hii imetokana na Simba kupoteza nafasi ya kubeba ubingwa wa Kombe la Shirikisho Afrika mbele ya RS Berkane ya Morocco, licha...

KISA AZIZ KI KUSEPA YANGA …HUKO SIMBA WATU NI TABASAMU MPAKA JINO LA MWISHO๐Ÿ˜…….

0
Habari za Michezo

KITENDO cha Aziz KI kukubali dili la kutua Wydad, atakuwa anaweka kwenye waleti mshahara wa Sh72.3 milioni kwa mwezi. Ni mara mbili ya aliokuwa akilipwa Yanga. Kingine ni kwamba mkataba wa Aziz KI na Wydad utakuwa wa miaka miwili akianza kucheza michuano ya Klabu Bingwa Dunia itakayofanyika Juni 15, 2025 hadi Julai 13, 2025, huko Marekani. Sasa kuna habari mpya. Kocha...

BAADA YA MAMBO YA CAF KUISHA….VITA IKO KWA AHOUA, DUBE NA MZIZE….DUA YA WOTE HII HAPA…

0
Habari za Michezo leo

USHINDANI wa mastaa kwenye Ligi Kuu Bara msimu huu umezidi kukolea na kusababisha mambo kuzidi kunoga. Lakini kuna kuna linakwenda kutokea kati ya wachezaji watatu mahiri kwenye mashindano hayo ambao wote wanacheza kwa watani wa jadi. Moja ya eneo ambalo sasa limekuwa gumzo na mijadala kwenye vijiwe vya kahawa hususani vile vya Simba na Yanga ni mchuano baina ya wafungaji...

GATES OF OLYMPUS SASA NDANI YA MERIDIANBET!…

0
Meridianbet

Karibu kwenye Ulimwengu wa Miungu - Ushindi ni wa Wenye Ujasiri! Unasubiri nini? Zeus mwenyewe anakuita! Mchezo mpya wa Gates of Olympus sasa unapatikana ndani ya Meridianbet โ€“ na huu si mchezo wa kawaida, ni safari ya miujiza, bonasi kubwa, na mizunguko ya bahati ambayo inaweza kukuletea ushindi wa mamilioni! ๐Ÿ”ฅ Kwa Nini Ucheze Gates of Olympus? โšก Bonasi za Kuvutia:...

NANI KUKUPATIA MKWANJA WA MAANA LEO….

0
Meridianbet

Leo ndio leo asemaye kesho muongo, mbivu na mbichi zinaenda kujulikana ambapo zile ligi 3 bora kati ya 5 Duniani zinaenda kumalizika leo. Timu nyingi za ushindi uwanjani. Suka jamvi lako na Meridianbet uibuke bingwa leo. EPL Uingereza pale kuna mechi za maokoto leo, Nottingham Forest atakipiga dhidi ya Chelsea ambapo The Blues wanahitaji kushinda leo ili kucheza UEFA msimu...

AFRIKA KUSINI USO KWA USO NA TAIFA STAR….NGOMA KUCHEZWA UGENINI…

0
Taifa Stars

Timu ya Taifa ya soka ya Tanzania โ€˜Taifa Starsโ€™ itacheza mechi ya kimataifa ya kirafiki dhidi ya Afrika Kusini โ€˜Bafana Bafanaโ€™, Juni 6, mwaka huu huko Afrika Kusini. Mchezo huo umepangwa kuchezwa katika Uwanja wa Peter Mokaba uliopo Polokwane, Afrika Kusini kuanzia saa 1:30 usiku kwa muda wa huko sawa na saa 2:30 usiku kwa muda wa Afrika Mashariki. Hilo limefahamika...

WAKATI DR MWINYI AKIHAIDI MIL 260….HAYA HAPA MAMBO 5 YA KUIBEBA SIMBA KESHO…

0
Habari za Simba

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi ametembelea kambi ya timu na kupata nafasi ya kuongea na wachezaji na benchi la ufundi kuelekea mchezo wa kesho wa fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika. Dkt. Mwinyi amewatakia mchezo mwema na kuwaeleza umuhimu wa mchezo wa kesho kwa nchi na hivyo serikali inatoa ushirikiano wa kila...

KAPOMBE:- TUTAKACHOWAFANYA HAWATAAMINI KAMA WAKO KWA MKAPA ๐Ÿ˜Ž๐Ÿ˜Ž๐Ÿ˜Ž….

0
Habari za Simba leo

SIMBA ina mafaza wawili tu kwasasa na wote wapo kikosi cha kwanza. Shomari Kapombe na Mohammed Tshabalala. Wamepigwa mishale mingi lakini bado wapo imara ndani ya kikosi cha kwanza wakimpambania Mnyama. Msimu huu hatimae wamecheza fainali yao ya kwanza ya Kombe la Shirikisho Afrika ambayo inahitimishwa kesho Jumapili kwa dakika 90 zitakazoamua nani abebe Kombe. Simba inalazimika kushinda mabao 3-0 ili...