ISHU YA SIMBA KUYUMBA MSIMU WA 2020/21, SIMBA YAFAFANUA

0

 UONGOZI wa Simba umesema kuwa kwa sasa unaamini kwamba una nguvu ya kutetea taji la Ligi Kuu Bara kwa mara nyingine tena licha ya kuanza kwa kuyumba ndani ya msimu wa 2020/21.Ofisa Habari wa Simba, Haji Manara amesema kuwa kwenye maisha ya soka kuna mapito ya kipekee ambayo wakati mwingine unashindwa kuwa na chaguo kutokana na matokeo ambayo unayapata...

CRISTIANO RONALDO APONA CORONA, SASA KAZIKAZI

0

 UONGOZI wa Juventus umethibitisha kuwa nyota wao Cristiano Ronaldo kwa sasa tayari ameshapona COVID -19 baada ya kubaninika na Virusi hivyo ambapo alikaa karantini kwa muda wa siku 19.Ronaldo akiwa karantini alikosa mechi nne ndani ya kikosi chake ikiwa ni pamoja na ile dhidi ya Barcelona ya mshikaji wake Lionel Messi katika Ligi ya Mabingwa Ulaya wakati wakipoteza kwa...

KOCHA MANCHESTER UNITED APATA HOFU KUIKABILI ARSENAL

0

 OLE Gunnar Solskajer, Kocha Mkuu wa Manchester United amesema kuwa leo Novemba Mosi ana mtihani mzito wa kusaka pointi tatu mbele ya Arsenal.Manchester United ambayo imepoteza mechi mbili Uwanja wa Old Trafford mbele ya Crystal Palace na na Tottenham itawakaribisha tena Arsenal saa 1:30 usiku kusaka pointi tatu muhimu.Arsenal chini ya Kocha Mkuu Mikel Arteta, imeshinda mechi tatu na...

RATIBA YA LIGI KUU BARA LEO HII HAPA

0

 LEO Novemba Mosi Ligi Kuu Tanzania Bara inaendelea kwa mechi mbili ambapo timu nne zitakuwa uwanjani kusaka pointi tatu muhimu namna hii:-Kagera Sugar ambayo imecheza mechi 8 na kujikusanyia pointi 5 itamenyana na Mtibwa Sugar ambayo imecheza mechi 8 na kujikusanyia pointi 11, Uwanja wa Kaitaba.Ruvu Shooting ambayo imecheza mechi 8 na kujikusanyia pointi 12 itakutana na Coastal Union...

SIMBA SC YATIMUA WAPISHI WAWILI

0

MEELEZWA kuwa Klabu ya Simba imewaondoa wapishi wao wawili ambao walikuwa wakihusika katika kuwapikia chakula wachezaji wa timu hiyo. Hivi karibuni Simba imewashtua mashabiki wao kufuatia matokeo ya kufungwa mechi mbili mfululizo kwenye ligi, ilianza kwa kufungwa bao 1-0 na Prisons kule Nelson Mandela, Sumbawanga kisha iliporejea Uwanja wa Uhuru jijini Dar ikapigwa bao 1-0 na Ruvu Shooting. Awali Simba ilitangaza...

AZAM FC: TUPO IMARA, TUNA JAMBO LETU

0

 UONGOZI wa Azam FC umesema kuwa  upo vizuri kwa msimu wa 2020/21 na utafanya mambo tofauti na msimu uliopita ndani ya ligi kuu bara baada ya kumaliza ikiwa nafasi ya tatu na kukosa kutwaa taji lolote lile.Oktoba 30 ikiwa Uwanja wa Azam Complex ilikubali sare ya kufungana bao 1-1 na JKT Tanzania baada ya kutoka kupoteza mchezo wa kwanza...

MSIMAMO WA LIGI KUU TANZANIA BARA UPO HIVI

0

 MSIMAMO wa Ligi Kuu Tanzania Bara upo namna hii kwa sasa

CHAMA KARUDI NA USHINDI WAKATI SIMBA IKIPIGA MTU 5G UHURU

0

LABDA unaweza kusema kwamba Simba bila Clatous Chama mambo yanaweza kuwa magumu ila mpira ndio matokeo yalivyo ndani ya uwanja.Baada ya kucheza mechi mbili mfululizo bila kupata matokeo chanya kwa kuyeyusha pointi sita mazima ndani ya uwanja leo Oktoba 31 Simba imeibuka na ushindi wa mabao 5-0 dhidi ya Mwadui FC.Mechi zake mbili ambazo ni dakika 180 ilichezeshwa ligwaride...

BIASHARA UNITED YATULIZWA JUMLAJUMLA NA YANGA, SARPONG AMALIZA MCHEZO

0

 MICHAEL Sarpong nyota wa kikosi cha Yanga leo ameibuka shujaa baada ya kufunga bao la ushindi mbele ya Biashara United na kuipa pointi tatu muhimu timu yake ambayo haijapoteza mchezo kwa msimu wa 2020/21.Bao hilo la ushindi alipachika dakika ya 68 Uwanja wa Karume, Mara kwa kichwa akimalizia pasi ya nyota wa timu hiyo Ditram Nchimbi na kuituliza kasi...

KAZE ATAFUTA REKODI MPYA LEO YANGA

0

 LEO Jumamosi, Kocha Mkuu wa Yanga anatarajiwa kuandika historia mpya wakati timu hiyo ikijiandaa kuwavaa Biashara United ya mkoani Mara katika mchezo wa raundi ya nane ya Ligi Kuu Bara.Mchezo huo ni muhimu kwa Yanga ambao kama watashinda, watafi kisha pointi 22, na kuzidiwa mchezo mmoja na Azam ambao jana walitarajia kucheza na JKT Tanzania.Yanga hadi hivi sasa ikicheza...