KLOPP KOCHA MKUU WA LIVERPOOL ALIA NA VAR
JURGEN Klopp, Kocha Mkuu wa Liverpool amesema kuwa mashine ya kujiridhishia na maamuzi ndani ya uwanja maarufu kama VAR ilitoa penalti isiyo sahihi kwa Sheffield United. Liverpool ikiwa Uwanja wa Anfield ilishinda mabao 2-1 ambapo Sheffield United ilianza kufunga kwa penalti dakika ya 13 kupitia kwa Sander Berge.Bao hilo lilisawazishwa dakika ya 41 na Roberto Firmino na kuzifanya timu hizo...
ANAANDIKA HAJI MANARA KUHUSU UBINGWA WA SIMBA
Anaandika Haji Manara Ofisa Habari wa Simba kuhusu namna Simba itakavyoweza kutetea taji la ligi kwa msimu wa 2020/21:- Mwaka juzi tulipoteza na Mbao katika raundi za mwanzo mwanzo za ligi kuu kule Mwanza, nakumbuka hadi chupa za maji tulirushiwa pale kirumba!Halikadhalika msimu uliopita tulifungwa na Mwadui mwanzoni kabisa mwa msimu, tukaaambiwa tunaachia ubingwa. Mwisho wa msimu tukawa bingwa kwa...
AZAM FC YAIPIGIA HESABU MTIBWA SUGAR
UONGOZI wa Azam FC umesema kuwa mchezo wao wa kesho dhidi ya Mtibwa Sugar utaamua hatma yao ya kuendelea na rekodi ambazo wameweka ndani ya ligi kwa msimu wa 20202/21.Kikosi cha Azam FC kikiwa nafasi ya kwanza na pointi 21 baada ya kucheza mechi saba na kushinda zote, kesho, Oktoba 26 kinakutana na Mtibwa Sugar, Uwanja wa Jamhuri, Morogoro.Mtibwa...
COASTAL UNION: TUMEADHIBIWA KWA MAKOSA YETU WENYEWE
BAADA ya kugawana pointi mojamoja na wapinzani wake Gwambina kwenye sare ya kufungana bao 1-1 Uwanja wa Mkwakwani, Tanga, Kocha Mkuu wa Coastal Union, Juma Mgunda amesema kuwa waliadhibiwa kutokana na makosa ambayo waliyafanya.Kwenye mchezo huo wa ligi uliochezwa jana, Oktoba 24, Coastal Union ilianza kufunga kupitia kwa Yusuph Soka dakika ya pili bao hilo lilipinduliwa na Meshack Abraham kinara...
KAZI TATU ZA MOTO KWA YANGA KANDA YA ZIWA HIZI HAPA
CEDRICK Kaze, Kocha Mkuu wa Yanga ana kazi ya kumalizana na timu tatu za kanda ya ziwa kusaka pointi tisa kutoka kwa timu ambazo atakutana nazo uwanjani.Mchezo wake wa kwanza, Kaze aliweza kusepa na pointi tatu mbele ya Polisi Tanzania kwenye mchezo wa ligi uliochezwa Uwanja wa Uhuru Oktoba 22 baada ya kupokea mikoba ya Zlatko Krmpotic aliyefutwa kazi...
OKTOBA 25, LIGI KUU BARA RATIBA IPO HIVI LEO
LIGI Kuu Tanzania Bara kwa sasa ipo mzunguko wa nane ambapo leo Oktoba 25 kazi ni moja tu kwa timu kuingia uwanjani kusaka pointi tatu muhimu.Polisi Tanzania iliyo nafasi ya saba na pointi 11 v Biashara United, iliyo nafasi ya nne na pointi 13 saa 8:00 mchana. Uwanja wa Sheikh Amri Abeid.Mwadui FC iliyo nafasi ya 12 na pointi...
NYOTA WATANO WA SIMBA HATIHATI KUIKOSA RUVUSHOOTING KESHO UWANJA WA UHURU
MAMBO ni magumu kwa Klabu ya Simba kutokana na kuandamwa na wachezaji wengi wa kikosi cha kwanza kusumbuliwa na majeraha ambapo wanatarajiwa kukaa nje kwa muda wa wiki tatu huku wengine wakiwa wameanza mazoezi mepesi kurejea kwenye ubora wao. Ikiwa nafasi ya tatu na pointi zake 13 baada ya kucheza mechi sita na kufunga mabao 14, Jumatatu inatarajiwa kuwakosa mastaa...
MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA SPOTI XTRA JUMAPILI
MUONEKANO wa Ukurasa wa mbele Gazeti la Spoti XTRA Jumapili
RATIBA YA FAINALI YA LIGI YA KUKAPU TANZANIA LEO HII HAPA
*FINALS- NBL* *FIXTURES**25.05.2020*INDOOR COURT ๐๐ฟ10:00 hrs ๐๐ฟVijana Queens V Jeshi Stars*THIRD PLACE*๐๐ฟ12:00 hrsDon Panthers V Vijana14:00 Jkt Stars V DB LionessFainali itakuwa ni kati ya Kurasini Heat V Oilers( OUTDOOR COURT) Uwanja ni Don Bosco
MSIMAMO WA LIGI KUU TANZANIA BARA UPO NAMNA HII
MSIMAMO wa Ligi Kuu Bara kwa sasa upo namna hii baada ya mechi nyingine kuchezwa jana Oktoba 24