KUMBE MWINYI ZAHERA ALIIBUKIA KAMBI YA YANGA
ALIYEWAHI kuwa Kocha wa Yanga, Mwinyi Zahera, inaelezwa kuwa alivamia kambi ya timu yake hiyo ya zamani kwa ajili ya kwenda kusalimia wachezaji wa timu hiyo pamoja na kocha Cedric Kaze muda mfupi kabla ya mechi yao. Yanga ikiwa jijini Mwanza iliweka kambi katika Hotel ya Capri Point, kwa ajili ya mechi zake tatu za Kanda ya Ziwa, ambapo ilimalizia...
LIGENDI DIEGO AFANYIWA UPASUAJI WA UBONGO
LIGENDI wa Argentina, Diego Maradona, amefanyiwa upasuaji wa ubongo huko La Plata Buenos Aires ambapo kwa mujibu wa daktari wake upasuaji huo umefanikiwa na anaendelea vizuri. Awali alipelekwa hospitali kwa shida ya upungufu wa damu na baadaye kugundulika kuwa na tatizo kwenye ubongo wake. Maradona ambaye aliiongoza Argentina kushinda Kombe la Dunia mwaka 1986, atakuwa anatimiza umri wa miaka 60 ifikapo Novemba...
PRINCE DUBE, OBREY CHIRWA NA KISSU WAINGIA KWENYE VITA MPYA
NYOTA wa Azam FC wanaingia kwenye vita ya kuwania tuzo ya mwezi Septemba na Oktoba baada ya uongozi wa matajiri hao wa Dar es Salaam kuamua kuanzisha tuzo hiyo.Miongoni mwa mastaa ambao wapo kwenye orodha ya kuwania tuzo hiyo ni pamoja na mtupiaji namba moja Bongo, Prince Dube mwenye mabao sita na Obrey Chirwa mwenye mabao manne.Wengine ni pamoja...
RASMI MUANGOLA WA YANGA KUIKOSA SIMBA NOVEMBA 7
IMEELEZWA kuwa nyota namba moja ndani ya Yanga kwa uzalishaji wa mabao kwa wageni Carlos Carlinhos hatakuwa sehemu ya kikosi kitakachoivaa Simba, Novemba 7, Uwanja wa Mkapa.Raia huyo wa Angola ametengeneza jumla ya pasi mbili za mabao yaliyofungwa na Lamine Moro ambaye ni kinara wa mabao kwa mabeki ndani ya Bongo.Aliumia akiwa mazoezini wakati timu yake ilipokuwa kambini kwa...
SIMBA YAIBAMIZA KAGERA SUGAR, YATUMA SALAMU KWA YANGA
KIKOSI cha Simba kinachonolewa na Kocha Mkuu, Sven Vandenbroeck leo Novemba 4 kimeibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Kagera Sugar kwenye mchezo ulicohezwa Uwanja wa Uhuru.Huu ni mchezo wa pili mfululizo kwa Simba kushinda Uwanja wa Uhuru baada ya kuchezwa gwaride mara mbili mfululizo kwa msimu wa 2020/21.Walianza kupoteza kwa kufungwa mbele ya Tanzania Prisons na wakafungwa...
HESABU ZA FOUNTAIN GATE NI NDEFU KWELI
UONGOZI wa timu ya Fountain Gate umeweka bayana kuwa maisha yao ndani ya Ligi Daraja la Kwanza hayatakuwa marefu kwa kuwa mpango wao namba moja ni kushiriki Ligi Kuu Bara kwa msimu wa 2020/21.Akizungumza na Saleh Jembe, Ofisa Habari wa timu hiyo iliyo kundi B na pointi zake 10 baada ya kucheza mechi nne, Juma Ayo alisema kuwa hesabu kubwa...
ZILIZOSHUKA LIGI KUU BARA ZINA MAISHA MAGUMU FDL
TIMU nne ambazo zilikuwa zinashiriki Ligi Kuu Bara maisha yao ndani ya Ligi Daraja la Kwanza, (FDL) ni magumu kwa kuwa bado hazijaonyesha matumaini ya kurejea kwenye mstari kwa msimu ujao kutokana na mwendo wa kusuasua walioanza nao.Ukiiweka kando Lipuli iliyoshuka baada ya kufikisha pointi 44 anza na Singida United iliyoshuka ikiwa na pointi 18, Mbao FC iliyoshuka na...
VPL: SIMBA 2-0 KAGERA SUGAR
KIKOSI cha Simba kimetangulia leo ndani ya dakika 45 kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara Uwanja wa Uhuru dhidi ya Kagera Sugar.Kwa sasa tayari kipindi cha pili kimeanza Uwanja wa Uhuru.Bao la kwanza kwa Simba limefungwa na nahodha John Bocco kwa mkwaju wa penalti baada ya mwamuzi kutafsri kuwa Hassan Dilunga amechezewa faulo na David Luhende ndani ya 18.Bao...
TIMU YA TAIFA YA WANAWAKE YAPIGA MTU MKONO AFRIKA KUSINI
Saleh JembeLEO Novemba 4 kikosi cha Timu ya Wasichana chini ya Miaka 17 cha Tanzania kimeibuka na ushindi wa mabao 5-1 dhidi ya Comoros kwenye michuano ya COSAFA.U 17 wakiwa ni waalikwa kwenye michuano hiyo inayofanyika Afrika Kusini, wameishushia kichapo hicho Comoros kwenye mchezo wa kwanza uliochezwa Uwanja wa Oval.Mabao ya Tanzania yalifungwa na Aisha Masaka aliyetupia mawili dakika...
KIKOSI CHA SIMBA KITAKACHOANZA LEO DHIDI YA KAGERA SUGAR
KIKOSI cha Simba kitakachoanza leo Novemba 4 dhidi ya Kagera Sugar, Uwanja wa Uhuru.