YANGA YAIPIGIA MATIZI YA MWISHO POLISI TANZANIA

0

 KIKOSI cha Yanga leo kimefanya mazoezi ya mwisho Uwanja wa Uhuru kwa ajili ya mchezo wa kesho wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Polisi Tanzania utakaopigwa Uwanja wa Uhuru saa 10:00.Utakuwa ni mchezo wa Kwanza kwa Yanga chini ya Kocha Mkuu, Cedric Kaze ambaye amesaini dili la miaka miwili kukinoa kikosi hicho.Kaze anachukua mikoba ya Zlatko Krmpotic aliyefutwa kazi...

ISHU YA MABAO, MUANGOLA WA YANGA ATAJWA KUWA TATIZO NDANI YA YANGA

0

 KOCHA Mkuu mpya wa Yanga, Mrundi, Cedric Kaze, ameanza na safu ya ushambuliaji katika program zake za mazoezi ili kuhakikisha anapunguza ukame wa mabao huku akisema kina Carlos Fernandes ‘Carlinhos’ raia wa Angola ndiyo wanashindwa kuwapa pasi washambuliaji. Kauli hiyo aliitoa mara baada ya kuiona safu hiyo inayoongozwa na Mghana, Michael Sarpong, Yacouba Songne, Waziri Junior na Tuisila Kisinda. Safu hiyo...

KMC YAHAMISHIA NGUVU KWA YANGA, MWANZA

0

 BAADA ya Klabu ya KMC kugawana pointi mojamoja na Klabu ya Ruvu Shooting, jana Oktoba 20 kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara uliochezwa Uwanja wa Uhuru kwa kufungana bao 1-1 akili zote za timu hiyo ni kuelekea mchezo wao ujao dhidi ya Yanga. Kwenye mchezo wa jana, KMC ilianza kupachika bao la kuongoza dakika ya 26 kupitia kwa Andrew Vincent...

SIMBA KAMILI GADO KUMALIZANA NA TANZANIA PRISONS

0

PATRICK Rweyemamu, Meneja wa Klabu ya Simba amesema kuwa kikosi kipo tayari kwa ajili mchezo wa kesho dhidi ya Tanzania Prisons utakaochezwa Uwanja wa Nelson Mandela.Simba kwa sasa imeshatia kambi Rukwa ikiwa tayari kwa ajili ya mchezo huo unaotarajiwa kuchezwa saa 10:00, Rukwa.Inashuka uwanjani ikiwa na kumbukumbu ya kushindwa kusepa na pointi tatu mbele ya Tanzania Prisons msimu uliopita...

KIRAKA WA PRISONS KIMENYA MDOGOMDOGO ANAREJEA KWENYE UBORA

0

 SALUM Kimenya, kiraka wa timu ya Tanzania Prisons amesema kuwa kwa sasa anaendelea vizuri jambo analomshukuru Mungu.Kimenya anasumbuliwa na nyama za misuli jambo ambalo limemfanya awe nje ya uwanja kwa muda mrefu na alikosekana kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya JKT Tanzania uliochezwa Uwanja wa Jamhuri Dodoma kwenye sare ya kufungana bao 1-1. Oktoba 19.Akizungumza na Saleh...

PETR CECH AREJEA CHELSEA

0

 KIPA wa zamani wa Arsenal na Chelsea,  Petr Cech amerejea tena kwenye timu yake ya zamani ya Chelsea akiwa ni mshauri kwenye masuala ya ufundi kwa makipa. Pia jina la nyota huyo limeorodheshwa kwa makipa ikitokea dharula anaweza kuanza kikosi cha kwanza ndani ya Ligi Kuu England pamoja na mashindano mengine.Kipa huyo mwenye miaka 34 ameteuliwa na Kocha Mkuu wa...

YANGA YAMFUTA KAZI KOCHA WAO

0

 BAADA ya kimya kutanda kwa muda mrefu, hatimaye Klabu ya Yanga imefikia makubaliano ya kuachana na aliyekuwa kocha wa viungo wa timu hiyo, Msauz, Riedoh Berdien. Ikumbukwe Riedoh aliondoka nchini kabla ya mchezo dhidi ya Mtibwa Sugar na Coastal Union na kurejea Afrika Kusini kwa ajili ya mapumziko ya wiki moja, lakini tangu alipomaliza muda wake wa mapumziko mafupi, alishindwa...

KAZE SIO MALAIKA, KILA MMOJA LINAMHUSU

0

Anaandika Saleh Jembe WATU hawapendi kuelezwa ukweli zaidi ya yale maneno matamu ambayo yanakuwa ni kupakana mafuta kwa kutumia mgongo wa chupa.Ukweli unajenga na ukweli unafundisha lakini ukweli unakumbusha kwenda katika uhalisia.Leo ninaendelea huku nikianza kukupa pole kama utaumia kwa kuwa utaendelea siku nyingine na ndiyo kazi yangu. Leo nawakumbusha, Kocha Cedric Kaze raia wa Burundi ambaye tayari amesaini kuanza...

DAVID KISSU AWEKA REKODI YAKE BONGO

0

 DAVID Kissu Mapingano kipa namba moja wa Azam FC ameweka rekodi ya kuwa kinara wa clean sheet ndani ya Ligi Kuu Bara Bara msimu wa 2020/21.Azam FC ikiwa imecheza mechi saba amekusanya clean sheet 6 na amefungwa mabao mawili ilikuwa dhidi ya Kagera Sugar,  Uwanja wa Azam Complex wakati Azam ikishinda mabao 4-2.Jana Oktoba 20, Azam FC ilishinda mchezo...

MOLINGA NYOTA WA ZAMANI WA YANGA AANZA MAZOEZI ZESCO

0

 NYOTA wa zamani wa Klabu ya Yanga, David Molinga ameanza mazoezi na timu yake mpya ya Zesco ambayo amejiunga nayo msimu huu wa 2020/21.Molinga alikuwa anacheza ndani ya Yanga msimu wa 2019/20 na alikuwa ni kinara wa utupiaji kwenye kikosi hicho zama za Luc Eymael. Mchezo wake wa mwisho Uwanja wa Samora, Iringa alipachika bao lake la 11 na kuifanya...