YANGA YAIVUTIA KASI POLISI TANZANIA
KIKOSI cha Yanga kinachonolewa na Kocha Mkuu, Cedric Kaze leo Oktoba 19 kimeendelea kujiweka sawa kwa ajili ya mchezo wao wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Polisi Tanzania kwenye kambi yao iliyopo maeneo ya Kigamboni. Mchezo huo unatarajiwa kuchezwa Oktoba 22, Uwanja wa Mkapa saa 1:00 usiku unatarajiwa kuwa na ushindani kwa timu zote mbili kuwania pointi tatu muhimu.Msimu uliopita...
MWINYI ZAHERA ASHUHUDIA TIMU YA GWAMBINA FC IKIGAWANA POINTI MOJA NA POLISI TANZANIA
MWINYI Zahera, Mkurugenzi wa Benchi la Ufundi ndani ya Klabubya Gwambina FC, leo Oktoba 19 alikuwa ndani ya Uwanja wa Sheik Amri Abeid akishuhudia timu yake ikigawana pointi mojamoja na Klabu ya Polisi Tanzania baada ya sare ya kufungana bao 1-1.Stive Jimmyson alipachika bao kwa upande wa Gwambina FC huku lile la Polisi Tanzania likipachikwa na Hamad Ally na...
MTIBWA SUGAR YAIFUNGA BAO 1-0 NAMUNGO FC
SALUM Kihimbwa nyota wa Mtibwa Sugar FC leo Oktoba 19 amefunga bao lake la kwanza ndani ya msimu wa 2020/21 wakati timu yake ikishinda bao 1-0 dhidi ya Mtibwa Sugar. Mchezo wa leo umechezwa Uwanja wa Jamhuri, Morogoro ukiwa ni wa kwanza kwa Mtibwa Sugar kucheza ikiwa chini ya kocha msaidizi, Vincent Barnaba baada ya Zuber Katwila aliyekuwa Kocha Mkuu, ...
IHEFU FC KUKIWASHA KESHO DHIDI YA AZAM FC
VINARA wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Azam FC kesho, Oktoba 20 wana kazi ya kupambana na Ihefu FC kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara utakaochezwa Uwanja wa Sokoine saa 8:00 mchana.Azam ipo nafasi ya kwanza baada ya kucheza mechi sita imeshinda zote na kujiwekea kibindoni pointi 18.Inakutana na Ihefu inayonolewa na Zubeir Katwila ikiwa nafasi ya 17 na pointi...
SIMBA YAFIKIRIA MICHUANO YA KIMATAIFA
KIUNGO wa Simba, Clatous Chama ana matumaini makubwa ya timu yao kufanya vizuri kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika msimu huu.Michuano hiyo inatarajiwa kuanza Novemba 20, mwaka huu ambapo michezo ya hatua ya awali itapigwa.Kwa msimu wa 2020/21, Simba ndiyo wawakilishi pekee wa michuano hiyo. Akizungumzia nafasi ya Simba kwenye michuano hiyo, Chama alisema: “Nawapongeza viongozi kwa kufanya usajili bora, ukiachana...
LIGI YA MABINGWA AFRIKA NI BALAA TUPU
LIGI ya Mabingwa Barani Afrika imeendelea mwishoni mwa wiki hii, ikiwa ni hatua ya nusu fainali kwa miamba ya soka Afrika ya Kaskazini Morocco na Misri kutoana jasho vilivyo, ambapo National Al Ahly wakiwa chini ya kocha mpya Pitso Mosimane walikuwa ugenini kuvaana na Wydad Casablanca ya Morocco.Kwenye mchezo huo Al Ahly iliweza kuibuka na ushindi wa mabao 2-0...
MTIBWA SUGAR YAMSHUKURU KATWILA
BAADA ya jana, Oktoba 18 Zubeir Katwila aliyekuwa Kocha Mkuu wa Mtibwa Sugar kubwaga manyanga na kuibukia ndani ya Ihefu FC akiwa ni Kocha Mkuu, Uongozi wa Mtibwa Sugar umemshukuru kwa kutumika ndani ya timu hiyo.Katwila amelelewa Mtibwa Sugar ambapo alianza akiwa ni mchezaji wa timu hiyo 1999 na jana Oktoba 18 alihitimisha safari yake ya mafanikio na timu...
SPURS HAWAAMINI WANACHOKIONA
JOSE Mourinho, Kocha Mkuu wa Tottenham Hotspur amesema kuwa waliadhibiwa jana mbele ya West Ham United kwa kuamini kwamba wamemaliza kazi jambo lililowaponza wagawane pointi mojamoja.Mchezo huo wa Ligi Kuu England uliochezwa Uwanja wa Tottenham Hotspur, ulikamilika kwa timu zote kufungana mabao 3-3 huku West Ham wakipindua meza zikiwa zimebaki dakika 8 mpira kumalizika kwa kuwa walikuwa wamefungwa mabao...
KIKOSI CHA AZAM FC KILICHOPO MBEYA KWA AJILI YA MCHEZO WA LIGI DHIDI YA IHEFU FC
Kikosi cha Azam FC kilichopo Mbeya kwa ajili ya mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Ihefu FC, kesho Oktoba 20, Uwanja wa Sokoine 1.Beko2.David3.Wadada4.Abdul5.Bruce6.Agrey7.Mudathir8.Djodi9.Chirwa10.Tigere11.Domayo12.Sebo13.Niyonzima14.Nado15.Daniel16.Akono17.Lyanga18.Yakubu19.Sure20.Prince
MIPANGO YA YANGA NI NOMA, WAPIGA TIZI LA MAANA
KAZI ya kuusaka ubingwa imeanza Yanga, hii ni baada ya kocha mpya wa kikosi hicho, Cedric Kaze kuanza kazi rasmi akiwa hataki utani hata kidogo.Kaze raia wa Burundi, Alhamisi ya wiki hii majira ya saa nne usiku, alitua kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) jijini Dar, kisha juzi Ijumaa akasaini mkataba wa miaka miwili kuinoa...