WAANDISHI WA HABARI WA TIMU YA WASIOOA WAWAFUNGA WALIOOA KWA PENALTI

0

WAANDISHI wa Habari  Walioa wamepoteza kwa kufungwa kwa penalti 4-1 kwenye mchezo wa kirafiki dhidi ya Wasioa uliochezwa leo Uwanja wa Chuo cha Sheria Ubungo baada ya dakika 90 kukamilika kwa sare ya kufungana mabao 2-2. Ibrahim Mohamed aliwatanguliza walioa kwa mabao yake mawili ya kipindi cha kwanza, kabla ya Abdulghafary Ally mwandishi wa gazeti la Championi alisawazisha bao moja...

SASA MECHI KUPIGWA KAMA KAWAIDA, NYUMBANI NA UGENINI, VITUO HAKUNA

0

RASMI sasa mechi zote zitachezwa kwa mtindo wa nyumbani na ugenini bila kuwepo vituo kama ambavyo awali ilielekezwa.Dr. Hassan Abass, Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo amesema kuwa suala hilo limezingatia maoni ya Wizara ya Afya pamoja na wadau mbalimbali wa masuala ya michezo."Serikali imeridhia mfumo wa michezo ya soka uchezwe kama ilivyokuwa ukifanyika awali,...

BREAKING: MASHABIKI RUKSA KWENDA UWANJANI, UTARATIBU WATAJWA

0

DR.Hassan Abbas,Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni. Sanaa na Michezo amesema kuwa kuanzia ligi itakapoanza mashabiki ni ruksa kwenda viwanjani lakini kwa kuzingatia muongozo ambao umetolewa na Serikali.Awali baada ya Serikali kuruhusu kuanza kwa masuala ya michezo ifikapo Juni Mosi, ilitolewa taarifa kwamba mashabiki watakaoruhisiwa kwenda uwanjani ni 20 ambapo kila timu ingetoa mashabiki 10 na hii ilitokana...

SERIKALI YATOA MUONGOZO RASMI UTAKAOTUMIKA KWENYE MASUALA YA MICHEZO

0

SERIKALI leo, Mei 31 imetoa mwongozo wa kufuata katika michezo ya ligi kuu za soka nchini ambazo zinatarajiwa kuanza Juni Mosi, 2020.Katibu Mkuu Wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo na MsemajI Mkuu wa Serikali, Dr. Hassan Abbas amesema kuwa ni muhimu kuzingatia na kwa yoyote atakayekiuka taratibu hizo hatua kali zitachukuliwa dhidi yake.

YANGA YAPANGA KUSHTUA LEO BONGO NA LA LIGA

0

UONGOZI wa Yanga umesema kuwa leo Mei 31 utashtua Bongo kutokana na yale watakayojadili wakati wa kukamilisha mchakato wa kutiliana saini mkataba wa kuelekea kwenye safari ya mabadiliko sambambana na La Liga pamoja na GSM .Akizungumza na Saleh Jembe, Ofisa Uhamasishaji na Msemaji wa Yanga, Antonio Nugaz amesema kuwa kwa wana imani kubwa ya kufika safari yao ya mabadiliko...

DAH! KUMBE AZAM FC NDIO WAMEPANIA NAMNA HII….

0

Kocha Msaidizi wa Azam FC, Vivier Bahati, amesema kuwa watafanya mazoezi mfululizo bila kupumzika ili kukifanya kikosi hicho kurudi kwenye ubora wake kabla ya kuanza mbio za kumalizia michezo 10 ya Ligi Kuu Bara waliyobaki nayo.Vivier raia wa Burundi, alisema ameridhishwa na namna ambavyo wachezaji wake wameanza mazoezi, hali inayoonyesha kuwa kila mchezaji alifuata vizuri program yake, ingawa bado...

LUC EYMAEL ANAAMINI KAGERA SUGAR WALA SI TATIZO

0

Kocha Mkuu wa Yanga, Luc Eymael, ametuma ujumbe mzito kwa wapinzani wake Kagera Sugar ambao watacheza nao katika robo fainali ya Kombe la FA akiwaambia analihitaji kombe hilo kwa nguvu zote, hivyo atawafunga tu.Kocha huyo amesema kwamba kile kilichotokea kwenye mechi ya Ligi Kuu Bara ambapo Yanga ilifungwa 3-0, hakitajirudia kwa sababu ya kulihitaji kombe hilo ili kupata nafasi...

HIVI HAPA VIGONGO 10 VYA RUVU SHOOTING

0

IKIWA imecheza mechi 28 Ruvu Shooting inayobebwa na serea ya 'Kupapasa Square' ipo nafasi ya 11 na kibindoni ina pointi 39.Imebakiza mechi zake 10 kukamilisha mzunguko wa pili msimu wa 2019/20 hizi hapa za Ruvu Shooting:-Simba SCKMCNdandaNamungoKagera SugarBiashara UnitedMwadui FCSingida UnitedLipuliMtibwa Sugar

MASHABIKI SASA KUPATA FURSA YA KUONA UHONDO WA FAINALI KOMBE LA FA

0

IMEELEZWA kuwa fainali ya mchezo wa Kombe la FA inayotarajiwa kuchezwa Agosti Mosi, Uwanja wa Wembley itahudhuriwa na idadi ya mashabiki 20,000.Kwa sasa viongozi wanapambana kuona namna gani wanaweza kupata kibali hicho ili kupata kibali cha kuwa na mashabiki katika fainali hizo kutokana na janga la Virusi vya Corona kutibua mipango mingi katika soka.Ripoti zinaeleza kuwa moja ya kigezo...

MROMANIA WA AZAM FC KUANZA SAFARI YAKE NA GARI

0

ARSTICA Cioaba, Kocha Mkuu wa Azam FC anatarajiwa kurejea muda wowote kuanzia sasa baada ya kibali cha kuja Bongo kupatikana na ataanza kwa usafiri wa gari mpaka nchi jirani na Ujerumani kabla ya kukwea pipa kuja Bongo.Kocha huyo kwa sasa yupo nchini Romania ambapo aliibukia huko baada ya masuala ya michezo kusimamishwa Machi 17 imekuwa ngumu kurudi mapema baada...