MTUPIAJI BONGO: UKIMPITA YONDANI JIPONGEZE

0

YUSUPH Mhilu mshambuliaji anayekipiga ndani ya Kagera Sugar, amesema kuwa moja ya mabeki anaokubali uwezo wao ndani ya Bongo ni pamoja na Kelvin Yondani anayekipiga Yanga.Mhilu ambaye aliwahi kucheza ndani ya Yanga pamoja na beki huyo, amesema kuwa miongoni mwa wabeki wazawa ambao wanafanya kazi zao kwa umakini muda wote jina la Yondani haliwezi kukosekana.Mhilu alisema kuwa alipopata bahati...

SIMBA NA YANGA ZAPIGWA BAO KWA KIUNGO HUYU,KESHO NDANI YA CHAMPIONI JUMATATU

0

KESHO ndani ya Championi Jumatatu usipange kukosa nakala yako, nafasi ya kushinda ndinga mpya ni yako 

UJUMBE WA JEMBE KWA NADIR HAROUB WA YANGA

0

KUHUSU Nadir, Jembe anaandika hivi:-KWELI muda umekwisha mwanangu Nadir, unakuwa hauna ujanja lakini kama ungekuwa unaruhusu, ningekushauri urudi tena na kuitumikia Yanga au Tanzania yetu.Umeondoka na utamu wako, very pro, muda umeisha wala hukusumbua ukakaa zako kando. Najua watu wa mpira wepesi sana kusahau, wengi wameisha kusahau, siku hizi zaidi wanamzungumza Lamine Moro, wana haki ndio wakati wake.Mimi, kamwe...

KOCHA SIMBA AWAOMBA WATANZANIA KUENDELEA KUCHUKUA TAHADHARI DHIDI YA CORONA

0

SELEMAN Matola, Kocha Msaidizi wa Klabu ya Simba amesema kuwa kwa wakati huu wa maambukizi ya Virusi vya Corona ni lazima kila mmoja akachukua tahadhari kwani hali bado haijawa shwari.Akizungumza na Saleh Jembe, Matola amesema kuwa ili hali iwe shwari ni muhimu kila mmoja kuchukua tahadhari kwa ajili ya afya yake na ya mwenzake pia."Wapo watu ambao bado wanachukulia...

KOSI LA MAUAJI LA YANGA NI BALAA, UNAAMBIWA TANO ZINAKUHUSU MAZIMA

0

KIUNGO Mshambuliaji wa Yanga Mrisho Ngasa amejipa jukumu la kupanga kikosi cha kwanza cha Yanga anachoamini kuwa kitakuwa ni balaa uwanjani ambapo kinaweza kumpiga mpinzani wao mabao Yanga.Ngasa ambaye kwa sasa yupo zake Bagamoyo kutokana na Ligi Kuu Bara kusimamishwa kutokana na maambukizi ya Virusi vya Corona.Kiungo huyo amesema kuwa wachezaji ambao hajawataja wana udhuru ikiwa ni pamoja na...

YONDANI ANACHOWAONYESHA YANGA WENGI HAWAJAFANYA, KUFENI NAYE KWA SHIDA NA RAHA

0

NA SALEH ALLYNIMEMSIKIA beki Kelvin Yondani, maneno yake aliyoyasema wakati akifanya mahojiano na Gazeti la Spoti Xtra, hakika yanaonyesha nini maana ya ukongwe.Yondani amemaliza ule ubishi kuwa anataka kuondoka, amemaliza kila kitu kuhusiana na yeye anabaki Yanga au la na amesema wazi kuwa ameamua kubaki Yanga hadi atakapostaafu soka.Wazo hili linakuja akiwa sasa hana uhakika sana katika kikosi cha...

ARSENAL WAJIWEKA PEMBENI ISHU YA AUBA

0

ARSENAL imeamua kujiweka kando kwenye ishu ya mazungumzo ya kuongeza mkataba na nyota wao Pierre-Emerick Aubameyang.Inaelezwa kuwa huenda nyota huyo mwenye miaka 30 akaibukia ndani ya Klabu ya Inter Milan ambayo inaiwinda saini yake.Auba ambaye ni nahodha wa Arsenal inaelezwa kuwa alikuwa anataka kuongezewa mkwanja wa malipo jambo ambalo limekuwa gumu kupenya kwenye maskio ya mabosi hao.Miongoni mwa klabu...

TUACHE UNAFIKI, TUMUAMBIE NDEMLA UKWELI, SIMBA SI SEHEMU SALAMA KWAKE…!

0

NA SALEH ALLYWAKATI huu michezo imesimama kwa ajili ya hofu ya maambukizi ya Covid 19, yaani ugonjwa wa homa ya mapafu ya Corona.Ugonjwa huu ni hatari na ilikuwa sahihi kabisa kusimamisha michezo yote na kuwekeza nguvu zote katika kuhakikisha usalama wa afya unakuwa sawa.Wakati haya yote tunayafikiria, wakati mwingine tena nimeona ninaweza kurudia kumzungumzia mdogo wake Said Hamis Ndemla,...

DILUNGA ATAJA SABABU YA KUTUSUA SIMBA

0

HASSAN Dilunga, kiungo mshambuliaji wa Simba amesema kuwa kikubwa ambacho kinambeba ndani ya klabu hiyo nikujituma na kufanya kazi bila kuchoka.Kabla ya Ligi Kuu Bara kusimamishwa kutokana na maambukizi ya Virusi vya Corona, Dilunga alikuwa ametupia mabao sita ndani ya Simba ambayo imefunga mabao 63.Dilunga amesema:"Kikubwa ilikuwa ni kutazama namna gani ninaweza kuipa matokeo timu yetu ya Simba ambayo...

MOISE KEAN KWA KUDAIWA KUFANYA SHEREHE NA WANAWAKE ADHABU INAMHUSU

0

KLABU ya Everton inayoshiriki Ligi Kuu nchini England imesema kuwa imestushwa na taarifa kuhusu mshambuliaji wao Moise Kean kuvunja sheria ya kumepuka mikusanyiko isiyo ya lazima wakati huu wa kupambana na maambukizi ya Virusi vya Corona.Taarifa zinaeleza kuwa nyota huyo mwenye miaka 20 aliaandaa sherehe ya siri na kuwakusanya wageni kibao ambao asilimia kubwa inaelezwa kuwa walikuwa ni Wanawake.Nyota...