HIVI NDIVYO OKWI ALIYOKUWA ANAWAPA TABU YANGA
JUMA Abdul, nahodha msaidizi wa Klabu ya Yanga amesema kuwa ilikuwa ni shughuli pevu kupambana na mshambuliaji wa zamani wa Simba Emmanuel Okwi ndani ya uwanja.Kwa sasa Okwi hayupo ndani ya Simba anakipiga nchini Misri ambapo habari zinadai kwamba huenda akarejea msimu ujao makao makuu ya Simba pale Msimbazi, Kariakoo kumwaga wino na kuendelea kukipiga.Abdul amesema kuwa ni aina...
ISHU YA YAKUB MOHAMED KUIBUKIA SIMBA IMEFIKIA HAPA
UONGOZI wa Azam FC umesema kuwa kwa sasa bado ina mkataba na nyota wao Yakub Mohamed ambaye inaelezwa kuwa saini yake inawindwa na Simba.Beki huyo raia wa Ghana ni miongoni mwa wachezaji wenye uhakika wa namba kikosi cha kwanza kutokana na ubora wake.Mtendaji Mkuu wa Azam FC, Abdulkarim Amin amesema kuwa bado Yakub ni mali ya Azam kwa sasa...
MARTIN APANIA KUFANYA MAKUBWA NDANI YA BARCA
STRAIKA wa Barcelona, Martin Braithwaite amesema anataka kukaa ndani ya klabu hiyo kwa muda mrefu zaidi ya mkataba ambao anao kwa sasa kwa kuhakikisha ainafanya klabu hiyo kuwa bora zaidi.Braithwaite amejiunga na Barcelona akitokea Leganes katika usajili wa dharura msimu huu hii ni baada ya Barca mastaa wake Luis Suarez na Ousmane Dembele kutupwa nje kutokana na majeruhi. Straika huyo ameingia mkataba na Barcelona...
SIMBA WAIJIBU KIBABE YANGA, NI KUHUSU SAINI YA BEKI CHIPUKIZI WA COASTAL UNION
UONGOZI wa Simba umesema kuwa hauwezi kushindwa kupata saini yoyote ya mchezaji anayekipiga ndani ya timu za Bongo kwa sasa kutokana na kujipanga kiuhakika.Kauli hiyo ya kishujaa ni salamu kwa mabosi wa Yanga ambao ni GSM walio kwenye mpango wa kujenga kikosi matata cha Yanga msimu ujao huku ikielezwa kuwa wamekutana chimbo la beki wa Coastal Union Bakari Mwamnyeto.Mkurugenzi...
KINACHOMSOTESHA BENCHI KABWILI HIKI HAPA
RAMADHAN Kabwili, mlinda mlango namba tatu wa Yanga amesema kuwa kinachomkosesha namba ndani ya kikosi hicho ni ushindani wa namba pamoja na chaguo la mwalimu.Kabwili msimu huu Kwenye mechi za Ligi Kuu Bara hajakaa Langoni ambapo Yanga ikiwa imecheza mechi 27 zaidi ya kuisha benchi.Alipata nafasi ya kuonyesha uwezo wake visiwani Zanzibar Kwenye mashindano ya Kombe la Mapinduzi.Kabwili amesema:"Ushindani...
KIUNGO MKANDALA AZICHONGANISHA AZAM NA NAMUNGO
AZAM FC na Klabu ya Namungo zipo kwenye hesabu za kuinasa saini ya kiungo Cleophance Mkandala anayekipiga ndani ya Tanzania Prisons.Kiungo huyo amekuwa kwenye ubora wake msimu huu ambapo ametoa jumla ya pasi nne za mabao kwenye klabuyake.Habari zinaeleza kuwa Azam FC iliyo chini ya Kocha Mkuu Arstica Cioaba ina mpango wa kuboresha kikosi kwa ajili ya msimu ujao...
MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA SPOTIXTRA JUMAPILI
MUONEKANO wa Ukurasa wa mbele Gazeti la SPOTIXTRA Jumapili
MAJEMBE HAYA YA KAZI MAWILI KUMALIZANA NA SIMBA
MWEKEZAJI wa Simba, Mohammed Dewji ‘Mo’ ameonekana kupania kuwabakisha mastaa wake wote muhimu wanaomaliza mikataba yao, na sasa ni zamu ya kiungo mkabaji Mzamiru Yassin na beki Muivory Coast Pascal Wawa ambao wapo kwenye mazungumzo ya mwisho kukamilisha usajili wao.Mzamiru ni kati ya wachezaji watano ambao mikataba yao inatarajiwa kumalizika mwishoni mwa msimu huu, wengine ni Wawa, Shiza Kichuya,...
SABABU ZA OBREY CHIRWA KUPIGWA PINI AZAM FC HIZI HAPA
OBREY Chirwa, mshambuliaji wa Azam FC ameongeza kandarasi ya mwaka kuendelea kuitumikia Azam FC huku ikitajwa kuwa sababu kubwa ni kuthamini mchango wa nyota huyo kikosi hapo.Mkataba wa Chirwa ulikuwa unameguka mwisho wa msimu huu na alikuwa anatajwa kuingia kwenye rada za mabosi wake wa zamani Yanga ambao walikuwa wanahitaji saini yake.Mtendaji Mkuu wa Azam FC, Abdulkarim Amin amesema...