SIMBA NA YANGA ZAKUTANA KWA BEKI HUYU KITASA, MWENYEWE AFUNGUKA

0

BAKARI mwamnyeto, beki anayekipiga Coastal Union, dili lake la kutua Simba limeingiliwa kati na wapinzani wa jadi Yanga ambao wanahitaji huduma yake.Beki huyo chipukizi alikuwa kwenye mpango wa muda mrefu na Simba iliyo chini ya Kocha Mkuu, Sven Vandenbroeck ambaye anahitaji kuboresha kikosi chake hasa kwenye safu ya ulinzi ambayo inaonekana kuwa na ubutu hasa linapokuja suala la kwenye...

KOCHA ALIYEPATA TABU MSIMU HUU MBELE YA YANGA LEO AMETIMIZA MIAKA KADHAA

0

SELEMAN Matola ndani ya Simba msimu huu ameongoza timu hiyo kwenye mechi 18 akiwa ni Kocha Msaidizi baada ya kujiunga na mabingwa hao watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara akitokea Polisi Tanzania.Ameshuhudia JKT Tanzania na Yanga zikisepa na pointi sita mazima baada ya kupoteza mechi hizo kwa kuambulia kichapo cha maana.JKT Tanzania ilimtungua Beno Kakolanya bao 1-0 Uwanja wa...

MORATA: KUMKABILI DIJK NI HABARI NYINGINE

0

ALVARO Morata, mshambuliaji wa Klabu ya Atletico Madrid amesema kuwa kukabiliana na beki kitasa wa Liverpool, Virgil van Dijk kunahitaji akili kwani ni ngumu mithili ya kupanda mlima.Mshambuliaji huyo amesema kuwa kupenya kwenye himaya ya beki huyo ni jambo la kujivunia kutokana na umakini wake.Nyota huyo mwenye miaka 27 alikuwa kwenye kikosi kilichoshinda mabao 4-2 dhidi ya Liverpool ambao...

OBREY CHIRWA ATOA NENO LA KISHUJAA AZAM FC

0

OBREY Chirwa, nyota wa Azam FC amesema kuwa ataendelea kutoa burudani ndani ya klabu hiyo baada ya kuongeza kandarasi ya mwaka mmoja.Nyota huyo jana, Apririli 23 ameongeza dili hilo hivyo ataendelea kuitumikia klabu hiyo ya mabingwa watetezi wa kombe la Shirikisho."Nipo ndani ya Azam na nitaendelea kuwapa burudani mashabiki wa Azam FC, kikubwa ni kuendelea kutupa sapoti," amesema.Ndani ya...

YANGA YAINGIA ANGA ZA RASTA HUYU WA MTIBWA SUGAR

0

SALUM Kihimbwa, mshambuliaji wa Mtibwa Sugar mwenye rasta kichwani ameingia kwenye hesabu za mabosi wa Yanga ambao wanahitaji kuboresha kikosi chao msimu ujao.Hivi karibuni Ofisa Habari wa Yanga, Hassan Bumbuli alisema kuwa walikuwa na skauti ya kufuatilia wachezaji wa ndani kwa ukaribu ili kujua nani atawafaa pale dirisha la usajili litakapoanza ambapo habari zinaeleza kuwa Mtibwa Sugar rasta Kihimbwa...

SABABU ZA UWANJA WA AZAM COMPLEX KUWA SAWA NA TP MAZEMBE HIZI HAPA

0

UONGOZI wa Azam FC umesema kuwa tayari ukarabati wa Uwanja wa Azam Complex umekamilika asilimia zote ukiwa sawa na ule wa TP Mazembe huku ukitaja sababu za kuwa sawa na ule wa TP Mazembe kwa ubora.Ofisa Habari wa Azam FC, Zaka Zakazi amesema kuwa ubora wa uwanja huo kwa sasa ni wa kimataifa.“Uwanja wetu ubora wake upo sawa na...

KOCHA ATAJA KINACHOWAPONZA WACHEZAJI WA BONGO KUSHINDWA KUTUSUA

0

PATRICK Mwangata, Kocha Msaidizi wa Klabu ya Mtibwa Sugar amewaasa wachezaji nchini kumuiga nahodha wa Taifa Stars, Mbwana Samatta katika suala la nidhamu na uvumilivu pale wanapopata nafasi ya kwenda kujaribu maisha ya soka nje ya nchi.Mwangata amesema kuwa wachezaji wengi wa Bongo hawana uvumilivu na nidhamu ya soka na ndiyo maana wengi wao hufanya majaribio nje ya nchi...

MUONEKANO WA UKURASA WA NYUMA GAZETI LA CHAMPIONI IJUMAA

0

MUONEKANO wa Ukurasa wa nyuma Gazeti la Championi Ijumaa 

HAWA HAPA WAKALI WATATU WAMEMTUNGUA MANULA NJE YA 18

0

AISHI Manula amekaa Langoni Kwenye mechi 21 za Ligi Kuu Bara ambazo ni dakika 1,890.Ametunguliwa mabao 10 akiwa na wastani wa kutunguliwa bao moja kila baada ya dakika 189.Mabao matatu ametunguliwa nje ya 18 na washakji zake waliomtesa ni Edward Songo anakipiga JKT Tanzania ilikuwa Uwanja wa Uhuru.Pale Taifa ametunguliwa mara mbili na mshkaji wake wa Kwanza alikuwa ni...