NI MUDA WA KLABU ZOTE BONGO KUUNGANA KWENYE VITA HII, ILE VITA YA AWALI MUDA WAKE UMEISHA
VITA ni vita bila kujali ni jambo la aina gani ambalo unapambana nalo kikubwa ni mpango mpya na kujua namna ya kuingia kwa hesabu kutafuta ushindi.Hakuna jambo lenye mwanzo ambalo likakosa mwisho hamna kitu kama hicho ila cha msingi ni kuendelea kupambana kwa kadri unavyoweza bila kuchoka.Mambo yanazidi kuwa magumu kwa sasa lakini hii inatokana na namna unavyozidi kupambana...
MANULA AZIKUMBUKA KELELE ZA MASHABIKI BONGO, ALIA NA CORONA
AISHI Manula mlinda mlango namba moja wa Klabu ya Simba amesema kuwa kwa sasa amezikumbuka kelele za mashabiki wake uwanjani ila anashindwa kuziskia kutokana na kusimamishwa kwa ligi.Ligi Kuu Tanzania Bara imesimamishwa kutokana na maambukizi ya Virusi vya Corona ambavyo ni janga la dunia kwa sasa.Wakati ligi ikisimamishwa, Simba ikiwa imecheza mechi 28, Manula alikaa langoni kwenye mechi 21...
SINGIDA UNITED WAWA MABALOZI WA HIYARI KUPAMBANA NA CORONA
UONGOZI wa Singida United umesema kuwa kwa kipindi hiki kigumu cha maambukizi ya Virusi vya Corona wameamua kuwa mabalozi kwa jamii ili kupambana kwa pamoja kuitokemaza Corona.Ofisa Habari wa Singida United, Cales Katemana amesema kuwa wamekuwa bega kwa bega na Serikali katika mapambano dhidi ya Virusi vya Corona kwani ni janga hatari.“Hili ni janga hatari nasi tumeamua kuungana na...
MTUPIAJI ANAYEWINDWA NA YANGA ANAPIGA MOJA KUBWA
DARUWESH Saliboko, nyota anayewindwa na Klabu ya Yanga amesema kuwa kwa sasa anapiga mazoezi mara moja kwa wiki ili kulinda kipaji chake.Nyota huyo anayekipiga ndani ya Lipuli kabla ya Ligi Kuu Bara kusimamishwa alikuwa kwenye ubora wake ambapo alifunga mabao nane na anatajwa kuwindwa na Yanga.Saliboko amesema kuwa kutokana na mlipuko wa Virusi vya Corona ametenga siku moja kati...
SANCHEZ KUREJEA MILAN WIKI HII
STAA wa Klabu ya Inter Milan, Alexis Sanchez wiki hii anatarajiwa kurejea jijini Milan akitokea nchini kwao Chile baada ya kupewa ruhusu licha ya Serie A kupigwa stop. Sanchez alienda Chile kutokana na kuwa na matatizo binafsi ya kifamilia hivyo uongozi wa klabu ulimpatia ruhusu licha ya wachezaji wengine kusalia Italia wakiwa karantini kutokana na mlipuko wa Virusi vya Corona.Sanchez...
MO HAELEWIELEWI INAKUAJEKUAJE NDANI YA SIMBA
MOHAMED Rashid, mshambuliaji wa Simba anayekipiga kwa mkopo ndani ya Klabu ya JKT Tanzania amesema kuwa bado hajazungumza na mabosi wake kuhusu hatma ya mkataba wake.Mo Rashid alisajiliwa na Simba msimu wa 2018/19 akitokea ndani ya Klabu ya Tanzania Prisons ambapo maisha yake ndani ya Simba hayakudumu kwani alitolewa kwa mkopo kukipiga KMC na sasa yupo JKT Tanzania.Akizungumza na...
JESE RODRIGUEZ AFIKIRIA KUREJEA PSG
JESE Rodriguez, mshambuliaji wa Klabu ya PSG anayekipiga ndani ya Klabu ya Sporting Lisbon kwa mkopo yupo kwenye mpango wa kurejea kwenye klabu yake ya PSG baada ya timu anayoitumikia kwa sasa kotukowa na mpango naye.Nyota huyo alitimka Real Madrid msimu wa 2016 amekuwa hana nafasi kikosi cha kwanza ndani ya Sporting Lisbon ambapo amecheza jumla ya mechi 17...
MSHAMBULIAJI AZAM FC AZIDI KUJINOA AKIWA NYUMBANI
MBARAKA Yusuph, mshambuliaji wa Azam FC amesema kuwa kwa sasa anaendelea kuchukua tahadhari dhidi ya Virusi vya Corona huku akifanya mazoezi binafsi akiwa nyumbani.Akizungumza na Saleh Jembe, Mbaraka amesema kuwa amekuwa akichukua tahadhari kulinda afya yake pamoja na wale wanaomzunguka."Nipo makini kwa sasa nikichukua tahadhari wakati huu wa maambukizi ya Virusi vya Corona na ninafanya mazoezi ili kuendelea kuwa...
MTUPIAJI NAMBA MOJA POLISI TANZANIA AKUBALI KUWAGA WINO YANGA
SIXTUS Sabilo, mshambuliaji wa Klabu ya Polisi Tanzania amesema kuwa yupo tayari kusaini ndani ya klabu ya Yanga iwapo watafuata utaratibu wa kuipata saini yake.Sabilo ni miongoni mwa wazawa ambao wanatimiza majukumu yake ipasavyo ambapo ametupia mabao saba msimu huu jambo liloliwavutia mabosi wa Yanga.Akizungumza na Saleh Jembe, Sabilo ambaye maskani yake ipo Bunda amesema kuwa amekuwa akiskia taarifa...
AZAM FC YACHEKELEA KUKAMILISHA UKARABATI WA UWANJA WAO
UONGOZI wa Azam FC umesema kuwa tayari ukarabati wa Uwanja wa Azam Complex umekamilika asilimia zote ukiwa sawa na ule wa TP Mazembe.Akizungumza na SalehJembe, Ofisa Habari wa Azam FC, Zaka Zakazi amesema kuwa ubora wa uwanja huo kwa sasa ni wa kimataifa.“Uwanja wetu ubora wake upo sawa na ule Uwanja wa TP Mazembe ya Congo kwa sasa upo...