HUYU HAPA NDIYE MOZIZI ANAYETAJWA KUTUA KLABU ZA BONGO KUTOKA CONGO

0

MPIANA Mozizi anakipiga ndani ya Klabu ya FC Lupopo inayoshiriki Ligi Kuu nchini Congo.Timu yake ipo nafasi ya 11 ikiwa imecheza mechi 22 kibindoni ina pointi 24.Nyota huyo anatajwa kuwekwa kwenye hesabu za klabu za Bongo ambazo zinahitaji kuipata saini yake.Inaelezwa kuwa Yanga, Azam na Simba zipo kwenye mpango wa kuipata saini yake.

HIZI PACHA TATU NI BALAA ZILIKUWA ZIMEWAKA KWA KUCHEKA NA NYAVU

0

LIGI Kuu Bara ikiwa imesimama kupisha maambukizi ya Virusi vya Corona kuna pacha ambazo zilikuwa ni matata uwanjani kwa kucheka na nyavu.Vinara kwenye pacha hiyo wanatoka Klabu ya Simba ambao muunganiko wao umehusika kwenye jumla ya mabao 30.Meddie Kagere na John Bocco wamekuwa na moto ambapo kwenye mabao 63 yaliyofungwa na Simba wamehusika kwenye mabao 30. Kagere ametupia mabao...

MKWANJA WANAOPOKEA SIMBA KUTOKA KWA MO UPO HIVI

0

OFISA Habari wa Simba, Haji Sunday Manara amesema kuwa Simba inaingiza fedha zaidi ya Sh milioni 130 kila mwezi kama gawiwo kutoka kwenye fedha ya mwekezaji.Fedha inayotakiwa kutolewa na mwekezaji ni Sh bilioni 20 ili amiliki sehemu ya 49% ya klabu hiyo na Manara amesema fedha hizo kama walivyokubaliana zimeingizwa benki ambako watakuwa wakipata gawio ambalo tayari wameanza kulipata kwa...

LAUTARO MARTINEZ AZIVURUGA KLABU ZA ENGLAND, LA LIGA

0

MACHESTER City inayoshiriki Ligi Kuu England iliyo chini ya Kocha Mkuu, Pep Guardiola ipo tayari kuinasa saini ya nyota anayekipiga ndani ya Inter Milan, Lautaro Martinez msimu huu wa usajili.Mshambuliaji huyo ambaye amekuwa na mchango mkubwa ndani ya Inter Milan amekuwa akizivutia klabu nyingi kubwa duniani ambapo amefunga mabao 16 akicheza kwenye mechi 31 za mashindano yote.Miongoni mwa klabu...

JONAS MKUDE HATAKI MCHEZO NDANI YA SIMBA

0

JONAS Mkude, kiungo wa Simba amesema kuwa kwa sasa anajifua vilivyo ili kulinda kipaji chake alichonacho.Kwa sasa Ligi Kuu Bara imesimama kupisha maambukizi ya Virusi vya Corona wachezaji wengi wapo nyumbani baada ya kambi kuvunjwa.Mkude amesema:"Kwa sasa ninafuata maelekezo niliyopewa na Kocha Mkuu (Sven Vandenbroek) ili kuwa fiti na ninachukua pia tahadhari kuhusu Virusi vya Corona."Kocha ametoa program maalumu...

MKUDE – KWA SASA SITAKI UJINGA UJINGA..!!

0

BAADA ya mashabiki wa Simba kumpigia kelele kiungo mkabaji wa timu hiyo, Jonas Mkude kuwa ni tatizo katika kikosi chao kutokana na utovu wa nidhamu huku baadhi yao wakitaka afungashiwe virigo, kocha mkuu wa timu hiyo, Mbelgiji, Sven Vandenbroeck ameingilia suala hilo ili kuhakikisha linakaa sawa. Hivi sasa Mkude yupo chini ya uangalizi mkubwa, katika kipindi hiki ambacho ligi imesimama...

BONGO WACHEZAJI WENGI NI WAJANJAJANJA ILA KWA HILI WATAKUWA WANAJIPOTEZA WENYEWE

0

 HAKUNA anayejua kwa sasa Ligi Kuu Tanzania Bara itarejea lini kwa msimu huu wa 2019/20 kutokana na kusambaa kwa Virusi vya Corona.Hii inatoa nafasi kwa wachezaji kuendelea kuwa mabalozi wakiwa nyumbani wakisubiri tamko la Serikali kuruhusu yake ambayo waliyakataza.Ninaona kwamba kuna wachezaji ambao wamekuwa wakionyesha jitihada za kufanya mazoezi kulingana na program ambazo walikuwa wamepewa na benchi la ufundi.Muhimu...

AZAM FC DARASA KWA WENGINE NDANI YA ARDHI YA BONGO

0

AZAM FC ni miongoni mwa timu ambazo zinazidi kufukuzia mafanikio ambayo zinayafikiria kila siku iitwapo leo jambo ambalo linazidi kufungua njia kwa wengi kujifunza kwao.Kwa sasa Ligi Kuu Bara ikiwa imesimamishwa kutokana na kusambaa kwa Virusi vya Corona tunaona kwamba bado Azam FC wamekuwa ni mabalozi wazuri kwa jamii kuhusu kujikinga na kuchukua tahadhari ya Virusi vya Corona.Wamekuwa wakifanya...

KUHUSU MOLINGA KUTAKIWA NA WAARABU..LUC EYMAEL AMEFUNGUKA HIVI..!!

0

NAELEZWA kuwa Klabu ya ES Setif inayoshiriki Ligi Kuu ya Algeria imeweka ofa mezani kwa ajili ya kumnasa mshambuliaji wa Yanga, Mkongomani, David Molinga ‘Falcao’, ifi kapo mwishoni mwa msimu huu huku timu ya Etoile Sportive Du Sahel ya Tunisia ikimtaka afanye majaribio kabla ya kumsajili.Molinga alisajiliwa msimu huu na kocha wa zamani wa Yanga, Mwinyi Zahera, akiwa kama...

GSM WAZIDI KUSHUSHA NEEMA YANGA..WASAINI MKATABA MPYA UTAKAOWAPA YANGA MABILIONI

0

YANGAkumenoga! Hivyo ndivyo utakavyoweza kusema baada ya timu hiyo kuingia makubaliano mengine na mdhamini wake Kampuni ya GSM ya kusaini mkataba mpya mwingine kwa ajili ya kutumia nembo ya klabu hiyo kutengeneza na kuuza vifaa mbalimbali. GSM wameingia makubaliano hayo ikiwa ni siku chache tangu watangaze kurejea Yanga baada ya awali kuwepo taarifa za kujitoa kwenye sehemu ya udhamini wa...