NIYONZIMA WA YANGA ATAJA KILICHOMFELISHA SIMBA

0

HARUNA Niyonzima, raia wa Rwanda anayekipiga ndani ya Yanga kwa sasa amesema kuwa kilichomfelisha kucheza mechi nyingi alipokuwa ndani ya Simba ni majeraha.Alipokuwa akikipiga Simba msimu wa 2018/19 akiwa chini Kocha Mkuu, Patrick Aussem alikaa nje ya Uwanja nusu msimu."Nilikuwa kwenye ubora wangu pia ndani ya Simba lakini nilishindwa kufanya vizuri kutokana na tatizo la majeraha jambo lililonifanya nisionyeshe...

BARCELONA BADO INA HESABU ZA KUINASA SAINI YA NEYMAR

0

NEYMAR da Silva Santos JĂșnior nyota wa PSG inayoshiriki Ligue 1 yupo kwenye hesabu za kurudishwa ndani ya Barcelona.Akiwa ndani ya PSG ametupia mabao 13 na timu yake inaongoza ligi ikiwa nafasi ya kwanza na pointi 68.Imecheza mechi 27 na kufunga jumla ya mabao 75 msimu huu wa 2019/20. Nyota huyo ana miaka 28 amecheza mechi 15 na ametoa pasi sita za...

MAJUU MWENDO WA 11 UPO NAMNA HII

0

WAKATI La Liga ikiwa imesimama kutokana na kupambana na maambukizi ya Virusi vya Corna kuna wachezaji ambao wametupia mabao 11 ndani ya klabu zao.Mwendo wa 11 tu huko La Liga upo namna hii:- Luis Suarez wa Barcelona ametupia mabao 11 na timu yake ipo nafasi ya Kwanza na pointi zake 58 baada ya kucheza mechi 27.Lukas Perez anayekipiga Alaves...

FEI TOTO: NINACHUKUA TAHADHARI YA CORONA NA KUFANYA MAZOEZI

0

KIUNGO Mkabaji wa timu ya Yanga, Feisal Salum, 'Fei Toto' amesema kuwa kwa sasa anaendelea kufanya mazoezi ili kuwa bora na anachukua tahadhari ya kujilinda na Virusi vya Corona.Kwa sasa Ligi Kuu Bara imesimama kupisha maambukizi ya Virusi vya Corona.Fei Toto amesema:" Kuna vingi ambavyo tunavikosa lakini ni muhimu kujali na kufikiria afya zetu kwani ni muhimu kuliko kitu...

BALAA LA LEWANDOWSKI LIPO NAMNA HII

0

ROBERT Lewandowski nyota anayekipiga ndani ya klabu ya Bayern inayoshiriki Bundeslinga anakimbikza kwa kucheka na nyavu.Amefunga mabao 25 amecheza mechi 23 na ametoa pasi tatu za mabao huku timu yake ikiwa nafasi kwanza na imefunga mabao 73.Nyota huyo mwenye miaka 31 ana uzito wa kg 80 ana hat-trick moja na braces mara tano.

MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA BETIKA, JIPATIE NAKALA YAKO NI BURE

0

MUONEKANO wa UKURASA wa mbele GAZETI la BETIKA, lipo mtaani nakaa yake ni bure kabisa

MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA CHAMPIONI JUMATANO

0

MUONEKANO wa Ukurasa wa mbele Gazeti la CHAMPIONI Jumatano, lipo mtaani una nafasi ya kujishindia ndinga

KOCHA LIVERPOOL ATAJA KINACHOMBEBA SALAH

0

MOHAMED Salah Hamed Mahrous Ghaly ndio jina lake huyu nyota anayekipiga ndani ya Liverpool akiwa ni raia wa Misri na anakipiga pia kwenye timu yake ya Taifa.Amezaliwa Juni 15,1992 ana miaka 27 ametupia jumla ya mabao 16 msimu huu ndani ya Ligi Kuu England.Kocha Mkuu wa Liverpool, Jurgen Klopp amesema kuwa ni miongni mwa wachezaji wanaojituma ndani ya uwanja...

HUYU HAPA ANAMKIMBIZA CR 7 KWA MTINDO HUU

0

SERIE A Ligi Kuu ya Italia kwa sasa imesimama kupisha maambukizi ya Virusi vya Corona.Mpaka inasimama vinara wao kwa utupiaji huku Ciro akimkimbiza Cr 7 kwa kumuacha kwa idadi ya mabao sita ipo hivi :- Ciro Immobile anakipiga Lazio iliyo nafasi ya pili na pointi 62 ametupia mabao 27.C.Ronaldo ametupia mabao 21 ndani ya Juventus ipo nafasi ya kwanza...

AZAM FC YAMTAKA BOCCO KUREJEA NYUMBANI

0

UONGOZI wa Azam FC umesema kuwa ni wakati wa nahodha wa Simba, John Bocco kurejea Azam FC kwa kuwa ndio maskani yake ilipo.Bocco alijiunga na Simba msimu wa 2017 akitokea Azam FC yenye maskani yake Chamazi.Ofisa Habari wa Azam FC, Zaka Zakazi amesema kuwa ni wakati sahihi wa nyota huyo kurejea Azam kuendelea na soka."Bocco ni mchezaji mzuri na...