YANGA WAMCHUNIA BOBAN, MENEJA WAKE AFUNGUKA

0

WAKATI uongozi wa Yanga ukiwa kimya kwa baadhi ya nyota wake imebainika kuwa hata kiungo mkongwe wa timu hiyo, Haruna Moshi ‘Bobani’ bado hajapigiwa simu na bado anawasikilizia kujua hatma yake.Boban alijiunga na Yanga kipindi cha dirisha dogo kwa mkataba wa miezi sita na sasa hivi ligi imemalizika bado hajafahamu hatma yake kwa msimu ujao.Akizungumza na Spoti Xtra, Meneja...

Amunike kujaribu wengine leo

0

Timu ya Taifa ya Tanzania “Taifa Stars” leo inashuka dimbani kucheza mchezo wa pili wa Kirafiki dhidi ya Zimbabwe.Mchezo huo utakaochezwa saa 2 Usiku kwenye Uwanja wa El Sekka El Hadid,Cairo ni sehemu ya maandalizi ya Taifa Stars kuelekea kwenye mashindano ya AFCON yatakayoanza Juni 21,2019.Kocha Mkuu wa Taifa Stars Emmanuel Amunike amesema atautumia mchezo huo kuwatazama...

WATATU WAPIGWA ‘PINI’ KMC

0

UONGOZI wa timu ya Manispaa ya Kinondoni, KMC umeamua kuendelea kuwapiga pini nyota wao wanaowahitaji ambapo leo tena wamemuongezea kandarasi mchezaji wao Cliff Buyoya.Ofisa Habari wa KMC, Anwar Binde amesema kuwa mpango mkubwa uliopo kwa sasa ni kukisuka kikosi kipya cha ushindani."Mchezaji wetu Cliff Buyoya ataendelea kuitumikia KMC, tumemuongezea kandarasi ya miaka mitatu hivyo atadumu mpaka mwaka 2022," amesema.Wachezaji...

POGBA ATAKA KUSEPA MANCHESTER UNITED MAZIMA

0

PAUL Pogba, kiungo mshambuliaji wa Manchester United amesema kuwa itakuwa habari njema kwake kuondoka ndani ya kikosi hicho ili kupata changamoto mpya mbali na Premier League.Mfarasa huyo anahusishwa kujiunga na Real Madrid ili kufanya kazi na meneja Zinedine Zidane ama kurejea kwenye kikosi chake cha zamani cha Juventus.Pogba akiwa ndani ya United amekuwa akilaumiwa na mashabiki kwa kucheza chini ya...

BEKI SIMBA AMWAGIWA MSHAHARA MILIONI 4 KWA DAU LA USAJILI MILIONI 80

0

MODewji hataki kuona mchezaji ambaye bado anahitajika na Kocha Patrick Aussems pale Simba anaondoka ndiyo maana amevunja benki na kumpa nahodha msaidizi, Mohammed Hussein ‘Tshabalala’ Sh mil 80 na mshahara wa kufuru.Tshabalala alijiunga na Simba msimu wa 2014/15 akitokea Kagera Sugar. Mara ya mwisho wakati akiongeza mkataba Simba, Tshabalala alipewa dau la Sh mil 60. Chanzo cha kuaminika kutoka...

MBALI NA BOCCO, POLOKWANE WAMTAKA MWINGINE SIMBA

0

KLABU ya Polokwane ya Afrika Kusini imekubali yaishe kwa mshambuliaji wa Simba, John Bocco na kumuomba kwa mkopo Adam Salamba aende kukipiga nchini huko.Hiyo, ikiwa ni siku chache tangu utata uibuke mara baada ya picha Bocco kusambaa zikimuonyesha akisaini mkataba mwingine wa miaka miwili ya kuichezea timu hiyo na Polokwane kuibuka na kudai ni mshambuliaji ni mali yao baada...

KIBABAGE WA MTIBWA SUGAR AMFUATA SIMON MSUVA DIFAA HASSANI EL JADIDA

0

UONGOZI wa timu ya Mtibwa Sugar umesema kuwa mchezaji wao Nickson Clement Kibabage anataraji kujiunga na Difaa Hassani El Jadida msimu ujao 2019/2020.Kibabage ameingia makubaliano ya miaka ya 4 kuitumikia Difaa El Jadida (2019-2023). Difaa Hassan El Jadida na Mtibwa Sugar Sc tayari tumekubaliana juu ya uhamisho huu wa Kibabage ambaye alibakiza mwaka mmoja wa kuitumikia Mtibwa Sugar SC.Kibabage atakuwa...

YANGA YASHUSHA MASTAA AS VITA DAR

0

YANGA inataka ianze kutesti mitambo yake kuelekea kimataifa na sasa ipo kwenye mazungumzo ya mwisho na klabu kubwa za DR Congo, AS Vita na TP Mazembe kwa ajili ya kuzileta hapa nchini kucheza mchezo wa kirafiki wa kimataifa.Yanga wamepanga, kurejesha heshima yao kimataifa kwa kufanya usajili wa kisasa utakaoendana na hadhi ya Yanga katika kuhakikisha wanauchukua ubingwa wa Ligi...