YANGA YASAINI JEMBE LINGINE LA STARS
YANGA wabishi balaa! Hili ndiyo neno pekee unaloweza kusema kwa sasa baada ya uongozi wa timu hiyo kufanikiwa kuinasa saini ya mlinda mlango wa timu ya Tanzania Prisons, Aron Kalambo ambaye kwa sasa yupo nchini Misri na kikosi cha Taifa Stars.Kalambo amemalizana na Yanga kwa kandarasi ya miaka miwili ambapo anaenda kukamilisha idadi ya makipa watatu waliosajiliwa Yanga kwa...
#NimeisomaHii: Shinda jezi ya timu ya Taifa ya Tanzania
Tovuti yetu ina zaidi ya makala/uchambuzi na habari 1,000 za kuvutia, bila kusahau Msimamo, Wafungaji bora, Matokeo na Ratiba, tukielekea katika michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika tovuti itatoa jezi mbili za timu ya Taifa Tanzania, kwa kuanzia kwa Wanakandanda watakaokuwa wamesoma makala zetu na kutoa maoni yao wakitumia hashtagg #NimeisomaHii.Nini ufanye?Fungua habari au makala yoyote...
ORODHA KAMILI YA WACHEZAJI AMBAO WAMEMALIZANA NA SIMBA NA WALIPO KWA SASA
KWA sasa joto la usajili ndio limepamba moto huku kila timu ikiwa bize kukamiisha usajili wa wachezaji ambao wanawahitaji.Mpaka sasa tayari mabingwa watetezi Simba wamewatangaza rasmi wachezaji watano ambao wamemalizana nao kila kitu na watawatambulisha rasmi Juni 21 Mwanza.Hawa hapa ambao wamemalizana na Simba mpaka sasa.John Bocco, nahodha wa Simba, ameongezewa mkataba wa miaka miwili kwa sasa yupo na...
ZAHERA ATOA MASHARTI MAKALI YA USAJILI YANGA
KOCHA Mkuu wa Yanga, Mkongomani, Mwinyi Zahera ametoa masharti ya usajili wa wachezaji wapya.Yanga hadi hivi sasa imekamilisha usajili wa wachezaji saba ambao ni Issa Birigimana ‘Walcott’, Patrick Sibomana (Rwanda), Lamine Moro (Ghana), Maybin Kalengo (Zambia), Farouk Shikhalo (Kenya) na Sadney Urikhob (Namibia) na Abdulaziz Makame (Zanzibar).Timu hiyo imepanga kufanya usajili mkubwa utakaokuwa na kikosi kipana kwa lengo la...
SIMBA SASA NI JEMBE JUU YA JEMBE
BODI ya Wakurugenzi ya Simba SC, Company Limited imetangaza rasmi kuanza usajili wa wachezaji wake wapya wakitumia ripoti ya kocha mkuu, Mbelgiji, Patrick Aussems.Hiyo, ikiwa ni siku chache mara baada ya kumalizika kwa kikao cha bodi hiyo kilichofanyika juzi jioni kwenye moja ya hoteli kubwa kwa lengo la kuweka mikakati kadhaa na mambo hayo. Mtendaji Mkuu wa klabu hiyo,...
SIMBA WATAJA SIKU YA KUTAMBULISHA MASHINE MPYA
MABINGWA wa Ligi Kuu Bara mara mbili mfululizo Simba, msimu wa 2017/18-na 2018-19 wamepata mualiko wa kucheza mchezo wa kirafiki Juni 21 dhidi Gwambina FC.Mchezo huo ni maalumu kwa ajili ya kuzindua uwanja wa timu hiyo ambayo inashiriki Ligi Daraja la Kwanza yenye lengo la kuzindua uwanja wa Gwambina uliopo Mwanza.Ofisa Habari wa Simba, Haji Manara amesema ni heshima...
HIVI NDIVYO YANGA WALIVYOWAPA SIMBA UWANJA WA MABWEPANDE
RAIS Mstaafu wa Awamu ya nne wa Tanzania, Dk. Jakaya Kikwete amesema viongozi wa Serikali hawatakiwi kuegemea katika klabu moja na kukandamiza nyingine kwa sababu zote ni za Watanzania na wao ni viongozi wa Tanzania.Kikwete amesema kuwa yeye akiwa Rais aliwahi kuwapa Simba pesa kiasi cha sh milioni 30 kwa ajili ya kununua eneo la Simba.Kikwete amesema wakati akitoa...
SERIKALI YAONGEZA MAKALI USIMAMIAJI WA TPL KWA WACHEZAJI WA KIGENI
KUELEKEA kwenye Ligi Kuu Tanzania Bara msimu wa 2019/20 Waziri wa Habari, Utamaduni Sanaa, na Michezo, Dr.Harrison Mwakyembe amesema kuwa wachezaji wa kigeni watakaopata nafasi ya kucheza hawatazidi watano.Sheria hii haitaangalia ukubwa wa timu iwe Yanga ama Simba, Lipuli, Azam FC na nyingine zote lazima zifuate.Mwakyembe ameyasema hayo leo kwenye hotuba yake ukumbi wa Diamond Jubilee ambapo kulikuwa na...