Uncategorized

MENEJA LAMPARD AANZA NA KINDA ODOI NDANI YA CHELSEA

admin July 8, 2019 4:22 am

KINDA Callum Hudson-Odoi inaaminika kwamba yupo tayari kusaini kandarasi mpya ndani ya klabu ya Chelsea.

Hudson-Odoi inaelezwa kuwa amechukua hatua hiyo baada kuhakikishiwa muda wa kucheza na kocha mpya wa Chelsea Frank Lampard.

Kinda huyo ana miaka 18 kwa sasa yupo tayari kusaini kandarasi mpya ndani ya kikosi hicho na kusitisha mpango wake wa kutimkia Bayern Munich.

HAPA NDIPO TATIZO LA AZAM FC LILIPOJIFICHA ZAHERA AGOMA KUREJEA BONGO, ATIMKIA ULAYA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply