HIII NI KUBWA KULIKO….BILIONI 2 ZA MERIDIANBET ZINAKUNGOJA …..KUSHINDA NI ‘SIMPO’ MNOO..

0
Meridianbet

Hii habari njema kwa wapenzi wote wa michezo ya kasino ya mtandaoni kutoka Meridianbet ambao tayari wamejisajili na hata wasiojisajili, wana nafasi ya kushinda mgao wa Bilioni 2 kwa watu ambao watachagulia baada ya kuibuka washindi wa promosheni ya “Bonanza la Bonasi Papo Hapo”.  Promosheni ya "Hall of fame: Bonanza la Bonasi Papo Hapo" imeanza tarehe 22 Februari 2024 ambapo...

HII HAPA THAMANI HALISII YA MKATABA WALIOSAINI YANGA JANA…..NI KUFRU TUPU…

0
Habari za Yanga leo

Klabu ya Young Africans, Jana Februari 22, 2024, imeingia ushirikiano wa kimkakati na Karimjee Group, ambao ni wasambazaji wa chapa ya pikipiki maarufu ya HERO. Ushirikiano huu wa kibiashara kwa kipindi cha miezi 18, unakuwa ni wa mfano na wa kuvutia ambao Yanga SC na matawi yake kote nchini Tanzania watafanya kazi kama mtandao wa usambazaji wa pikipiki za HERO Akizungumza...

ALIYEWASIMAMIA YANGA KUIMALIZA MAZEMBE…APEWA MECHI YA ASEC vs SIMBA LEO…

0
Habari za Simba leo

Mwamuzi Lahlou Benbraham, 37, kutoka Algeria ambaye alichezesha msimu uliopita mechi ya Kombe la Shirikisho Afrika kati ya TP Mazembe dhidi ya Yanga ndiye aliyepewa jukumu la kuiamua mechi ya Ligi ya Mabingwa Afrika kati ya ASEC Mimosas dhidi ya Simba kwenye Uwanja wa Felix Houphouet Boigny, Abidjan kesho. Hii itakuwa mara ya pili kwa mwamuzi huyo, kuchezesha mechi ambazo...

KUELEKEA MECHI YA KESHO NA WAARABU….AZIZ KI KAWATAZAMA WEE..KISHA AKASEMA HILI TU…

0
Habari za Yanga

Yanga iko kambini na kikosi kizima ambacho kinajiandaa na mchezo wa kesho wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya CR Belouizdad ya Algeria, staa wa Mabingwa hao wa Tanzania Stephanie Aziz KI ametoa matumaini makubwa. Katika mahojiano kwenye kambi ya Yanga Jijini Dar es Salaam, Aziz Ki aliuliza hivi; "Nani katoka salama hapa Dar?" Haishii hapo Aziz KI akaenda mbali akieleza...

BAADA YA KUSIKIA YANGA WANAPIGAGA 5G…WAARABU WAAPA KUKABA MWANZO MWISHO…

0
Habari za Michezo leo

Kocha Mkuu wa CR Belouizdad, Marcos César Dias de Castro maarufu kama Marcos Paquetá (65) amesema kuwa anawaheshimu Yanga SC kwani wanayo timu nzuri na kocha mzuri hivyo kwenye mchezo wao wa kesho hawatajilipua badala yake watacheza kwa tahadhari kubwa. Mbrazil huyo amesema hayo wakati wa mkutano na wanahabari kuelekea mchezo huo wa makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika utakaopigwa...

MASTAA HAWA WA YANGA ‘WAMTIA TUMBO JOTO’ KOCHA WA CR BELOUIZDAD…

0
Habari za Yanga leo

Kocha Mkuu wa CR Belouizdad, Marcos César Dias de Castro maarufu kama Marcos Paquetá (65) amesema kuwa anawaheshimu Yanga SC kwani wanayo timu nzuri na kocha mzuri hivyo mchezo wao wa kesho utakuwa mzuri pia. Mbrazil huyo amesema hayo wakati wa mkutano na wanahabari kuelekea mchezo huo wa makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika utakaopigwa kesho Jumamosi, Faebruari 24, 2024...

ODDS ZA KUTOKA NA MKWANJA WA MERIDIANBET KWA MECHI ZA LEO USIKU NI HIZI HAPA…

0
Meridianbet

Alhamisi ya leo mechi za Europa za mkondo wa pili hatua ya 16 bora Ulaya zinaendelea huku timu zingine zikitaka kupindua meza na zingine zikitaka kulinda uongozi wao. Bashiri sasa mechi hizi. Mechi ya pesa pia ni hii ya Sporting Lisbon ya Ureno ambao walitoa kichapo dhidi ya Young Boys Bern kutoka kule Uswizi mechi yao za mkondo wa kwanza....

BAADA YA KUONA MZIKI WA SIMBA ULIVYO….KOCHA WA ASEC KAGUNA WEE..KISHA AKASEMA HILI..

0
Habari za Michezo leo

Kocha wa Asec Mimosas, Juliet Chevalier, amesema mechi ijayo dhidi ya Simba inampa presha kutokana na hesabu zao lakini wanapigo la kumkosa mshambuliaji wao hatari Sankara Karamoko, mwenye rekodi za kufunga mabao manne katika mechi nne za michuano hiyo na saba katika ligi. Lakini bado wamebakiwa na Serge Pokou aliyewafunga Simba mara ya mwisho Kwa Mkapa naye akiwa na rekodi...

KUHUSU NANI BORA KATI YA GAMONDI NA NABI…EDO KUMWEMBE KAANIKA CHAGUO LAKE…

0
Habari za Yanga leo

Baada ya wengi kuwa na mashaka na kiwango cha Yanga kwa siku za karibuni walianza kuweka mashaka katika mbinu za Mwalimu Miguel Gamondi. Mchambuzi wa michezo kutoka Wasafi FM, Edo Kumwembe anasema; “Kuna jambo la kujiuliza kuhusu ubora wa kocha aliyepita, Nasireddine Nabi na kocha wa sasa Miguel Gamondi. Ngumu kujua tofauti yao kwa namna Yanga inavyocheza. Kuna watu wamekuwa na...

KISA RAFU ZA AUCHO…..MANARA ‘AMTOA NGEU YA USO’ JEMEDARI SAIDI…

0
Habari za Yanga

Baada ya baadhi ya wachambuzi wa soka Tanzania akiwemo Jemedari Said kumtaja kiungo wa Yanga SC, Khalid Aucho kuwa anaongoza kwa kucheza rafu, aliyekuwa mhamasishaji wa timu hiyo, Haji Manara ameibuka na kuwavaa wachambuzi hao. Manara amesema wachambuzi wengi hivi ssa wanakosa uhalali wa kukosoa kutokana na kuwa na ubaguzi katika chambuzi zao. Hii inatokana na kauli ya Jemedari kuwa, Aucho...