BAADA YA KUONA SIMBA WANAZIDI KUTAMBA…ALLY KAMWE KAKUNA KICHWA..KISHA AKASEMA HILI..

0
Afisa Habari wa Yanga SC Ally Kamwe

Uongozi wa Klabu Bingwa Tanzania Bara Young Africans umeweka wazi kuwa kazi ipo msimu mpya wa 2023/24 kutokana na mipango makini inayosukwa kwenye klabu hiyo. Young Africans ni mabingwa watetezi wa ligi baada ya kukamilisha msimu wakiwa washindi wa kwanza, pia walibeba Ngao ya Jamii na Kombe la Shirikisho ‘ASFC’. Timu hiyo imeshakamilisha utambulisho wa wachezaji wao ikiwa ni pamoja na...

KUHUSU ISHU YA MAKABI KUWA MBADALA WA MAYELE YANGA…MAKOCHA WAVUNJA UKIMYA…

0
Tetesi za Usajili Yanga

Wakati Mabingwa wa Soka Tanzania Bara Young Africans ikihusishwa kuwa mbioni kuinasa saini ya Makabi Lilepo awe mbadala wa Fiston Mayele, makocha wa zamani wa klabu hiyo wametofautiana na usajili huo huku wengine wakidai kuwa Mshambuliaji huyo hatoshi. Taarifa zinaeleza kuwa, Young Africans imewaweka katika rada washambuliaji mbalimbali akiwemo Lilepo kuchukua nafasi ya Mayele anayetarajiwa kutimkia Pyramids ya Misri. Lilepo raia...

KAMATA ‘MAOKOTO’ MARA MBILI YA DAU LAKO KUPITIA CASINO YA AGE OF THE GODS SPIN…

0
Meridianbet

Ni watengenezaji wakubwa sana wa michezo ya casino ya mtandaoni, Playtech wanashirikiana na Meridianbet kukuletea mchezo wa Age of the Gods Spin a Win. Age of the Gods Spin a Win ni mchezo wa casino kutoka Meridianbet kasino ya mtandaoni ambao unaweza kukuletea ushindi wa kushangaza. Mchezo huu unakupa odds za kipekee na bonasi kibao. Maelekezo ya Age of the Gods...

HUKO SIMBA MAMBO YANAZIDI KUNOGA, NAFASI YA MANULA YACHUKULIWA NA MCAMEROON, HUKU MASTAA WENGINE WANNE WATUA SIMBA

0
Tetesi za Usajili Simba

KAMA mambo yakienda yalivyopangwa kipa Mcameroon, Simon Omossola (25) anaweza kusaini Simba muda wowote kuanzia sasa. Lakini kikosi kikiendelea kujifua Uturuki leo kinatarajia kuwapokea mastaa wanne wakiwemo watatu wapya. Mwanaspoti linajua Simba imeachana na dili la kipa Mbrazili Caique da Santos kwa sababu mbalimbali ikiwemo kigezo cha lugha, lakini sasa iko siriazi na Omossola aliyesaini miaka miwili na FC Saint...

MASTAA HAWA WATATU YANGA KUFUNGA USAJILI

0
Habari za Yanga leo

YANGA imetambulisha wachezaji wapya watano hadi sasa ambapo wanne ni wa kigeni na wawili wazawa, lakini chanzo  kimepenyezewa iko mbioni kushusha wengine watatu ili kufunga hesabu. Beki wa kati Mganda Gift Fred kutoka SC Villa ya Uganda, winga Mkongomani Max Nzengeli kutoka Maniema na beki wa kulia Muivory Coast Kouassi Attohoula Yao kutoka Asec Mimosas ndio wa kigeni waliotambulishwa huku...

SIMBA WADHAMIRIA KUFANYA KWELI TUKIO LA KUZINDUA JEZI MLIMA KILIMANJARO, HAWA HAPA SAFARINI

0

MSAFARA wa watakaohusika kwenye uzinduzi wa jezi mpya za klabu ya Simba kwa msimu wa 2023/2024 umeondoka Dar es Salaam kwenda mkoani Kilimanjaro kwa ajili ya tukio hilo la Julai 21,2023. Mapema Julai 18, 2023 Meneja wa habari na wasiliano wa klabu ya Simba Ahmed Ally amechapisha katika ukurasa wake wa instagram taarifa ya kuanza safari ya kuelekea mlima Kilimanjaro. Waziri...

WINGA WA BOLI KATUA, YANGA SC YANOGA BUSTA ZOTE NDA, SASA NDIO MTAELEWA

0

Habari mwanamichezo mwenzangu kutoka Dar es salaam leo ni asubuhi nyingine nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika magazeti ya michezo

YANGA KUSHUSHA VYUMA VIWILI VYA KIMATAIFA KWA MPIGO, YANGA WANAULIZA HUKO , CHAGUENI TUANZE NA KIPI?

0

Habari mwanamichezo mwenzangu kutoka Dar es salaam leo ni asubuhi nyingine nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika magazeti ya michezo

JEZI NAMBA 6 YANGA NI SKUDU, MKUDE AANZA MAVITUZ YANGA

0

Habari mwanamichezo mwenzangu kutoka Dar es salaam leo ni asubuhi nyingine nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika magazeti ya michezo

IKAMATAKE MAGIC POKER KWA USHINDI MPAKA MARA 800 YA DAU LAKO…MZIGO UKO MERIDIANBET..

0
Meridianbet

Kwa wale wanaopenda kucheza michezo ya kasino ya mtandaoni bila shaka umekutana na michezo ya karata au kadi, moja kati ya michezo hii ni Magic Poker kama ilivyo jina hili limekaa kimaajabu na ndivyo ambavyo ushindi huwa na maajabu yake kwakuwa na uwezo wa kutoa ushindi mpaka mara 800 ya dau lako. Magic Poker ni mchezo mpya wa poker kutoka...