HUO MSHAHARA WA MIQUSSONE SIO POA, UNAAMBIWA AMETUA NCHINI KIMYAKIMYA

0
Tetesi za Usajili Simba

INAELEZWA kiungo mshambuliaji wa Al Ahly ya Misri, Luis Miquissone raia wa Msumbuji ameletwa nchini kimyakimya na mabosi wa Simba na kufichwa katika mmoja ya hoteli maarufu zinazotumiwa na timu hiyo kufikia wachezaji wake. Simba imekuwa ikihaha kumrudisha nyota huyo aliyejiunga na Mabingwa wa Afrika, Al-Ahly mwaka 2021 akitokea Simba lakini hakuweza kupenya na kuwa mchezaji muhimu ndani ya kikosi...

LUIS, CHAMA WAZUA BALAA KWA MASHABIKI WA MSIMBAZI NA JAGWANI

0
Chama na Simba SC Msimu Huu

WAKATI dirisha la usajili ukizidi kushika kasi kwa klabu mbalimbali kufukuzia na kuwasainisha majembe mapya, taarifa za viungo washambuliaji Clatous Chama na Luis Miquissone wameshtua na kuwa gumzo kwa mashabiki wa Yanga na Simba jijini Mbeya wametambiana kina kona. Hali hiyo imekuja baada ya kuwepo kwa tetesi za Chama kutikisa kiberiti Msimbazi kabla ya mabosi wa Simba kuingilia kati baada...

ROBERTINHO AKIACHA KIKOSI CHA SIMBA KAMBINI ATIMKIA BRAZIL

0
Habari za Simba SC

KAMBI ya Simba iliyopo hoteli ya Latapya, jijini Ankara Uturuki inazidi kunoga kwa wachezaji kuanza kuchangamshwa kwa mazoezi ya aina mbalimbali ikiwamo ya kuogelea ili kusaka pumzi, lakini kocha mkuu wa timu hiyo, Roberto Oliveira 'Robertinho' ametimka ili kwenda darasani. Simba ipo nchini humo kujiandaa na msimu mpya wa mashindano ikitarajiwa kucheza mechi zisizopungua tatu kabla ya kuja kuwasha moto...

SIMBA SC KUSHUSHA WACHEZAJI HAWA SITA NA KUKAMILISHA USAJILI WAKE MSIMU HUU

0
Habari za Simba SC

Simba imepanga kukamilisha zoezi lake la usajili kwa kunasa na kutambulisha nyota sita ambao wataungana na wengine siku chache zijazo huko Uturuki walikoweka kambi ya maandalizi ya msimu mpya. Wachezaji hao sita wapya pamoja na wengine wanne ambao bado hawajaungana na timu kwa sababu binafsi sambamba na kipa Aishi Manula ambaye anauguza majeraha yake. Katika kundi la wachezaji hao sita wapya,...

DUH! NA HUYU TENA, GAMONDI ASHUSHA MWINGINE KAMBI YA YANGA YANOGA….. BANDA AMPISHA LUIS SIMBA, AMALIZANA NA MABOSI , DILI LA SAKHO NALO LAIVA

0

Habari mwanamichezo mwenzangu kutoka Dar es salaam leo ni asubuhi nyingine nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika magazeti ya michezo

PAMOJA NA MBRAZILI KUSEPA..ISHU YA MGUNDA KUENDELEA SIMBA ….UKWELI WOTE HUU HAPA…

0
Habari za Simba SC

UPO uwezekano mkubwa wa Simba kuendelea na kocha wake msaidizi, Juma Mgunda katika msimu ujao licha ya usiri mkubwa ulikuwepo kati yake na mabosi wa timu hiyo. Mgunda juzi aliachwa katika msafara wa timu hiyo, uliosafiri kwenda nchini Uturuki kwa ajili ya kambi ya wiki tatu kujiandaa na msimu ujao. Mgunda ni kati ya makocha waliounda benchi la ufundi la Simba...

KUHUSU ISHU YA MO DEWJI KUKWAMISHWA KUWEKEZA SIMBA…USHAURI ALIOPEWA HUU HAPA..

0
Habari za Simba

Mchambuzi wa masuala ya michezo kutoka kituo cha radio cha wa EFM, Wilson Oruma ameonyesha kushangazwa na kauli ya mwekezaji wa Klabu ya Simba, Mohammed Dewji kudai kuwa anatakatishwa tamaa kutokana na mchakato wa mabadiliko wa klabu hiyo kusimama kwa miaka sita sasa. Oruma amedai kuwa kwa hadhi ya Mo Dewji hakupaswa kulalamika mitandaoni na badala yake angeweza kwenda kwenye...

BAADA YA KUMKOSA NABI YANGA SASA WAANZA UPYA

0
Habari za Yanga leo

MABINGWA watetezi wa Ligi Kuu Bara, Yanga pamoja na mafanikio makubwa waliyoyapata msimu uliopita wakitwaa mataji matatu - Ngao ya Jamii, Ligi Kuu Bara, Kombe la Shirikisho la Azam (ASFC) na kutinga fainali Kombe la Shirikisho Afrika watakuwa na kocha mpya. Mafanikio waliyoyapata Yanga walikuwa chini ya kocha Nasreddine Nabi ambaye ameondoka baada ya mkataba wake kumalizika huku ikitajwa kuwa...

YANGA NA DJUMA IMEENDA… AZUIWA KUINGIA KAMBINI…..NAFASI YAKE KUCHUKULIWA NA HUYU..

0
Habari za Yanga SC

Juzi mchana wakati unapiga ugali wako, Yanga walikuwa wanakamilisha tukio muhimu kwao. Walikuwa wanakamilisha usajili wa beki wa kulia wa ASEC Memosas, Kouassi Yao. Lakini Djuma Shaaban ndiyo basi tena, hata kambini amezuiwa kuingia. Muda wowote kibango cha 'Thank You' kitamganda. Yao pia alikuwa kwenye rada ya Simba lakini baadaye walibadili gia na kumfuata beki wao wa zamani David Kameta...

KUHUSU ISHU YA MKUDE KUTUA ZAKE YANGA….MANULA KAWAPASUKIA UKWELI HUU SIMBA…

0
Habari za Simba

Kipa namba moja wa Klabu ya Simba, Aishi Manula amesema kuwa hajaona umhimu wa kumshauri aliyekuwa mchezaji mwenzake, Jonas Mkude kuhusu kwenda Yanga kwani kila mchezaji anajua nini anakihitaji ili kutimiza malengo ya maisha yake. Manula ameongeza kuwa, si jambo baya kwa mchezaji kuhama kutoka timu moja kwenda timu nyingine ndani ya nchi moja kwani hata Ulaya wachezaji wanafanya hivyo...