KUHUSU KUBADILI MFUMO WA NGAO YA JAMII…UKWELI HUU HAPA…SIMBA NA YANGA BADO ZIKO..

0
Habari za Michezo

Kabla ya kuanza kwa msimu huu 2022/23 kulifanyika mabadiliko ya kanuni za ligi kuu ya NBC mojawapo ya mabadiliko ni kanuni ya (19:1) kuhusu mchezo wa Ngao ya jamii ambapo kwa sasa kutakuwa na shindano la Ngao ya Jamii na sio mchezo mmoja. Kanuni ya 19.1 inasema kutakuwa na shindano la Ngao ya jamii, ambapo timu tatu (3) za juu...

MAYELE: AZAM WAKICHEZA NATIMU NDOGO UTASHANGAA …ILA NGOJA WACHEZE NA SIMBA AU YANGA…

0
Habari za Yanga

Mshambuliaji kinara wa Klabu ya yanga, Fiston Mayele amesema kuwa licha ya Azam FC kukamia mechi kubwa, lakini ana uhakika watapambana ili kufanikiwa kupata ubingwa wa Kombe la Shirikisho (ASFC). Mayele amesema hayo wakati akizungumza na wanahabari mara baada ya kumalizika kwa mchezo wa nusu fainali kati ya Yanga na Singida Big Stars huku akifunga bao pekee lililoipeleka Yanga fianli. “Mchezo...

BETI BURE NA MCHONGO MPYA WA MERIDIANBET ….ISHU NZIMA IKO NAMNA HII…

0
Meridianbet

Aviatar Bonanza promosheni mpya kutoka kasino ya mtandaoni Meridianbet, lengo la promosheni hii ni kuwapa nafasi wachezaji wa Aviator kuongeza ushindi wako. Safari ya kurusha ndege ya Aviator huanza pale ambapo unaweka dau lako katika sehemu mbili kulia na kushoto kama unataka ushindi mkubwa, kisha unasubiri ndege iruke kadri ndege inavyopaa angani ndio ushindi unavyoongezeka. Hiyo haitoshi Meridianbet kasino ya Mtandaoni...

SIMBA WAANZA MAWINDO YA VIFAA VIPYA…MABOSI WA USAJILI WAANZA KAZI KIMYA KIMYA…

0
Habari za Simba SC

Baada ya Simba SC kukosa mataji yote msimu huu, uongozi wa klabu hiyo umetangaza kufanya usajili makini na kujiandaa vizuri kwa msimu ujao 2023/24. Msimu huu 2022/23 Simba SC imeshindwa kuunguruma na kukosa ubingwa katika michuano yote iliyoshiriki ikiwemo Ligi Kuu Tanzania Bara, Kombe la Shirikisho ‘ASFC’ na kuishia Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa Barani Afrika. Meneja wa Habari na...

KUELEKEA FAINAL CAF…MASHABIKI YANGA WAANZA KUWAPULIZA WAARABU MAPEMA…

0
Habari za Yanga SC

Mashabiki na wanachama wa Yanga mkoani Mbeya wamesema watatumia gharama yoyote kuhakikisha mchezo wao wa fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya USM Algers wanamalizia Dar es Salaam kwa kupata idadi kubwa ya mabao. Pia wamesema watajitokeza kwa wingi kwenye uwanja wa Mkapa kuishangilia timu hiyo ambapo zaidi ya mabasi 10 yanatarajia kutumika kusafirisha mashabiki hao kutoka Mbeya kwenda...

KUHUSU ISHU YA BALEKE KUSEPA SIMBA…WAKALA WAKE AIBUKA NA HOJA HII NZITO…

0
Habari za Simba SC

Meneja wa Mshambuliaji kutoka DR Congo Jean Baleke ametoa ufafanuzi wa kina kuhusu tetesi za Mchezaji wake kutakiwa kurejea TP Mazembe mwishoni mwa msimu huu, baada ya kuonyesha kiwango bora wakiwa Msimbazi. Jean Baleke alisajiliwa Simba SC wakati wa DIrisha Dogo la Usajili mapema mwezi Januari 2023, kwa mkataba wa mkopo wa muda mrefu, baada ya kukosa uhakika wa kucheza...

BAADA YA YANGA KUTINGA FAINAL CAF ….SARPONG ATAMANAI KURUDI KUKIPIGA TENA …

0
Habari za Yanga

Nyota wa Ghana aliyewahi kukipiga katika klabu ya Yanga na Rayon Sports, Michael Sarpong ameeleza kuwa anatamani kurudi Tanzania na kuichezea ligi kuu ya Tanzania kwa mara nyingine. Sarpong ambaye kwa sasa anaichezea Forest Rangers ya Zambia ameiambia Wasafi Media kuwa hajawahi kuisahau ligi ya Tanzania kutokana na ushindani wake mkubwa uliopo na jinsi inavyozidi kukua na kufanya vizuri kimataifa. “Napakumbuka...

BAADA YA KUTIKISHWA NA WIMBI LA ‘KUFA KIUME’…MBRAZILI SIMBA AANZA UPYAA….

0
Tetesi za Usajili Simba

Baada ya mapumziko ya siku nne kumalizika, kikosi cha Simba kimerejea mazoezini ili kujiandaa na mechi mbili zilizobakia za Ligi Kuu Tanzania Bara dhidi ya Polisi Tanzania na Coastal, lakini pia maandalizi ya msimu mpya. Mazoezi hayo yamefanyika kwenye Uwanja wa Mo Simba Arena, Bunju Dar es Salaam chini ya Kocha Mkuu, Robert Oliveira 'Robertinho’ ambaye alisema wachezaji wote wameshiriki...

KAMATA MTONYO ‘KICHELE’ KUPITIA JACKPOT YA PIA NDANI YA CASINO YA MERIDIANBET…

0
Meridianbet

Teknolojia inakuwa kila siku, Meridianbet kila siku inawapatia wateja huduma nzuri, kila siku michezo mipya ya kasino ya mtandaoni inaongezwa lengo likiwa ni kurahisisha ushindi kwa wachezaji kwa kuwapa machaguo tofauti ya michezo na sloti za kasino ya mtandaoni. Kutoka kwa watengenezaji maarufu wa michezo ya mtandaoni Expanse Studios, wamekuja na mchezo unaojulikana kama PIA PREMIUM yenye Jackpoti kubwa.  Jinsi ya...

WAKATI YANGA WAKITAMBA NA MZINZE ….MBRAZILI SIMBA AMSUBIRISHA MUSSA…MSIMAMO WAKE HUU HAPA…

0
Habari za Michezo

Simba hakuna kulala, baada ya kocha mkuu wa timu hiyo, Roberto Oliveira 'Robertinho' kuita mastaa wake kambini ikiwa ni muda mchache tangu awape mapumziko mafupi tangu ilipocheza na Ruvu Shooting na kuishusha daraja kwa kuichapa mabao 3-0, Ijumaa iliyopita jijini Dar es Salaam. Mbrazili huyo ameita wachezaji hao kambi ya mazoezi iliyopo Uwanja wa Mo Simba Arena ili kujiandaa na...