BAADA YA KUTINGA FAINAL CAF…YANGA WAKATAA ‘VIBE’ LA MASHABIKI DAR….ISHU IKO HIVI…
Wakati Kikosi cha Yanga kikiandika Historia ya kutinga Fainali ya Kombe la Shirikisho kwa mara ya kwanza katika historia yake. Wakati Yanga wakitengeneza Historia hiyo, wapo katika ardhi ya ugenini Afrika ya Kusini wakiichapa Marumo Gallants mabao 2-1 na kushinda ushindi wa jumla 4-1. Kutokana na rekodi hiyo bila shaka Mashabiki wa Yanga wanaisubiri kwa hamu Timu yao kwa ushujaa huo...
MGUNDA APENDEKEZA MBADALA WA MANULA SIMBA…TIMU ‘KIBAO’ ZA SAUZI ZINAMTAKA…
Klabu ya soka ya Simba SC imepanga kufanya Maboresho Makubwa katika Timu hiyo na eneo kubwa ambalo watafanya Maboresho kuelekea Msimu Ujao ni eneo la Golikipa, ambapo imeelezwa Kocha msaidizi Wa klabu hiyo Juma Mgunda amependekeza jina la Kipa namba Moja Wa Coastal Union na Timu ya Taifa ya Comoros Mahamoud Mroivili ambaye mkataba wake na Coastal Union unamalizika...
MBRAZILI SIMBA AVUNJA UKIMYA KUHUSU WALIPOFELI MSIMU HUU…ATAJA MASTAA ‘WABOVU’…
Roberto Oliveira ‘Robertinho’, Kocha Mkuu wa Simba amesema kuwa miongoni mwa sababu zilizofanya wakagotea nafasi ya pili ni kuwa na wachezaji ambao hawapo fiti muda wote. Miongoni mwa wachezaji ambao msimu wa 2022/23 ndani ya kikosi cha Simba walikuwa wanapambania hali zao ni pamoja na kiungo Peter Banda, Augustine Okrah, Moses Phiri na Aishi Manula. Kuumia kwa Manula ambaye ni kipa...
REDONDO :- MAFISANGO ALIKUWA HAITAKI TENA SIMBA…SIKU YA KIFO CHAKE ‘TULIFURAHI MNOO’..
Kama kuna nyakati ngumu kwa kiungo wa Polisi Tanzania, Ramadhan Chombo 'Redondo' ni kusimulia ishu ya kifo cha rafiki yake kipenzi, Patrick Mafisango aliyefariki dunia Mei 17, 2012. Marehemu Mafisango na Redondo walikuwa zaidi ya marafiki, walijiita 'Brothers' walipanga mipango mingi ya maendeleo ya kisoka na maisha kwa jumla. Anasimulia siku mbili kabla ya kifo cha Mafisango alimwambia wanatakiwa kwenda kucheza...
UNATAKA KUWEKA KIDOGO NA KUVUNA KIKUBWA…? CHEZA NA MIN POWER YA MERIDIANBET LEO..
Unafikiria ni sloti gani au mchezo gani ulipa pesa nyingi kwa mara moja? Usihangaike cheza kasino ya mtandaoni kutimiza matakwa yako. Kuna huu mchezo unaitwa Mini Power Roulette ni tofauti na Roulette nyingine huu una namba 13 zinazotoa ushindi. Ukiachilia mbali bonasi, ofa, odds kubwa na promosheni kedekede, kasino ya mtandaoni inakuletea mchezo wa Mini Power Roulette uliotengenezwa na Expanse...
MUDATHIR:- MIMI NDIYE MFALME WA CHAMAZI…ALIYENIPIGA PICHA HII ANITAFUTE HARAKA….
Kiungo wa Yanga, Mudathir Yahya Abbas amesema sababu ya kushangilia kwa kusimama kwenye moja ya nguzo zilizopo katika Uwanja wa Azam Complex Chamazi ilikuwa ni kuonyesha kuwa yeye amekulia Azam FC kisoka kwa hiyo uwanja ule ni kama nyumbani kwao. Mudathir aliweka pozi hilo la kushangilia mara baada ya kufunga bao la nne na la ushindi dhidi ya Dodoma Jiji...
SIMBA TENAAH!!!…WAPOTEZA TENA UBINGWA LIGI YA WANAWAKE…MABINGWA WAPYA HAWA HAPA..
Timu ya JKT Queens imefanikitwa kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu ya Wanawake Tanzania Bara baada ya ushindi wa Mabao 7-2 dhidi ya Mkwawa Queens jana Uwanja wa Samora mjini Iringa. Wapinzani wao wakuu katika mbio za ubingwa na waliokuwa mabingwa pia, Simba Queens ambao leo wameshinda bao 1-0 dhidi Ceasiaa Queens Uwanja wa Chuo Kikuu cha Mkwawa mjini Iringa pia. Kwa...
SIMBA WAINGILIA KATI DILI LA DILUNGA NA JKT….MAMBO YAGEUZWA ‘JUU CHINI’ HARAKAHARAKA…
Fununu za kiungo mshambuliaji, Hassan Dilunga kuhusishwa kwenye usajili wa msimu ujao wa Ligi Kuu Bara na JKT Tanzania huenda mambo yakabadilika kwani mchezaji huyo anaweza kupewa mkataba wa mwaka mmoja na Simba. Simba ina mpango ya kumsainisha mkataba huo mchezaji huyo, wakati huohuo JKT Tanzania ilikuwa inahitaji huduma yake lakini ni kama timu hiyo imerudi nyuma hatua moja, baada...
KUHUSU USAJILI SIMBA….MBRAZILI KAANZA NA HAWA KWANZA….’KIBERENGE’ CHA GEITA GOLD NDANI…
Klabu ya Simba imeanza harakati za kuimarisha kikosi chake na miongoni mwa nyota wanaotajwa kuwa katika mpango wa kuwanasa ni winga wa Geita Gold, Edmund John. Habari za uhakika kutoka ndani ya Klabu hiyo zinasema tayari winga huyo mwenye umri wa miaka 20 ameanza mazungumzo na Uongozi wa Simba SC kwa ajili ya kujiunga nao msimu ujao. Nyota huyo wa zamani...
HUYU NDIYE NABI BANA….KAANZA USAJILI MAPEMAA….VYUMA HIVI VITATU VYA CAF KUTUA CHAP…
Wakati Yanga wakiwa wamefanikiwa kutinga katika hatua ya fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika, kuna jambo kubwa kocha wa timu hiyo, Nasreddine Nabi pamoja na benchi la ufundi wanalifanya kwa ajili ya msimu ujao wa kimataifa. Yanga jana walifanikiwa kutinga fainal ya kombe la shirikisho baada ya kupata ushindi wa magoli 2-1 katika mchezo wa marudiano dhidi ya Marumo Gallansts...